Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

Umeanza tena! Mwaka huu unalo. Suluhisho ni wewe kuanzisha timu yako wewe. Iwe yako, usajili kocha na wachezaji unaowataka ili uchukue ubingwa miaka yote ya uhai wa taifa letu. Vinginevyo utaokota mkopo.
Idiot.
 
Wewe kwenye ile 51% iliyobaki umeweka sh ngapi? Au umeweka maneno na kutegemea hayo maneno yamsajili Kylian Mbape?

Kama Mgunda ni mbovu ,mbona kaifikisha timu Makundi CL tena kwa cleansheet safi kabisa home na away akiruhusu kufungwa goli 1 tu?

Hata mimi siwezi kuwekeza pesa zangu afu mzitumie kujifurahisha huku siingizi chochote , unataka wasajiliwe wa bei kubwa mishahara yao utaiokota barabarani?

Wana Simba halisi hatumlaumu Mo , maana hatutoi hata mishahara ya wachezaji tu hatuijui.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama ni hivyo msiwe mnapiga mayowe mnapogongeshwa maana ndo uwezo mlionao uwanjani kulingana na aina ya wachezaji mlionao, Msitake matokeo msiyostahili wakati mna timu imejaza kina kibu denis wa kutosha alafu unataka ushindane na yanga iliyowekeza utakuwa na akili au matope kichwani, mkubaliane na matokeo mnayopata kama kanjibhai wenu aweki pesa za usajili na mnamtetea
 
Ndio ukweli wenyewe,huko simba nadhani kuna tatizo ndani..nadhani kuna shida mahali fulani.
 
Back
Top Bottom