Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada ni Popoma tu. Hivyo mnatakiwa kumpuuza. Naamini hata mashabiki wenzake nao watakuwa wanampuuza tu.[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] kimeanza kunuka tayari
Siku akileta miguu yake (ngula), nitaifyeka kwa panga butu! Yanga hatutaki mashabiki mabumunda.Kwanini umuite panjuwani kibyongo mwekezaji wetu muhimu? GENTAMYCINE hamia yanga tuachie timu yetu
Ameweka 20B ila mbumbumbu a.k.a mchwa mmesosomola zote,naye kaamua kususa😄Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo.
Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe klabuni ( Simba SC ) na Panjuani halafu tushindwe kumpa Adebayor 850M, tushindwe kumpa Aziz K 500M na Manzoki 450M kweli?
Yaani kuwekwe kweli hiyo 20B Msimbazi tushindwe kuwa na benchi zuri la ufundi na tumpe deiwaka Kocha mhamasishaji na mjanjamjanja (muongo muongo) Juma Mgunda aiongoze klabu /timu?
Mzee Bakhressa (tajiri Tanzania nzima na ukinibishia hili kapimwe Ubongo) aliitaka Simba SC kwa 45 ila Panjuani Kibyongo akahonga waandishi wa habari za michezo ili wampambe, wamchafue Mzee Bakhressa huku akiwahonga pesa ndefu tu waliokuwa wajumbe wa mchakato akina Mulamu na chawa akina Said Tully.
Waanze kumsifia na kufanya propaganda za kila aina ili wana Simba SC wamkubali na wamuamini kwa 100% kama mwekezaji wetu.
Hakuna mtu ambaye kwa sasa yeye, familia yake na hawara yake mkubwa ambaye pia anashea na mabosi wa CAF na FIFA anafaidika pakubwa na Simba SC kama Panjuani Kibyongo, ila amefanikiwa kutunyamazisha mimbumbumbu (wana Simba SC wote) kwa nguvu ya pesa za ukoo wake.
GENTAMYCINE nasisitiza tena kwa kusema kuwa Yanga SC iliyojipanga vyema ndani na nje ya uwanja ndiyo mabingwa tena wa NBC Premier League.
Ukiona huu uzi unakukwaza na huupendi tafadhali tafuta upesi sumu ya panya, iweke katika kikombe chako cha chai kisha imeze yote ili utupunguzie idadi ya mambumbumbu (fools) walioko Simba SC.
'Panjuani Kibyongo' hajaweka 20B.
Sisi tulikuwa tunamiliki 100%MO kachukua steak ya asilimia 49%na nyie jichangeni vipesa vyenu vya ngama muweke pesa hio ya asilimia 51% ili mambo yawe sawa.
Ni sawa kabisa, hizo 51% ndio hiyo timu,Sisi tulikuwa tunamiliki 100%
.Ponjoro amekuja anataka ubia achukue 51% sisi atuachie 49% .Tukasema hapa, itakuwa kinyume chake.
Ponjoro amekubali kutoa bilioni 20 ili kulipia 49%.
Sisi tuweke hela ya 51% kulipia nini wakati hizo share tunazimiliki sisi wenyewe?
Au sijaelewa, timu ilikuwa haina wenyewe, ili iwe na wamiliki inabidi muwekezaji aweke mpunga na wanachama waweke mpunga?
Mkuu kuna watu wanajifanya hamnazo! Yaani ulitaka Simba(wanachama) aweke pesa kwa ajili ya 51% ya hisa wakati yeye ndo kauza 49% ya hisa zake kwa Kanjibai? Wanaouliza kuhusu hizo billion 20 za ununuzi wa 49% ya hisa wako sahihi, aseme ziko wapi au yale madeni aliyokuwa anaisaidia Club kabla ya kuwa mwanahisa ndiyo kaamua kukata juu kwa juu? Ili nalo litazamwe maana Kama kulikuwa hakuna makubaliano hayo basi ni utapeli mtupu.Sisi tulikuwa tunamiliki 100%
.Ponjoro amekuja anataka ubia achukue 51% sisi atuachie 49% .Tukasema hapa, itakuwa kinyume chake.
Ponjoro amekubali kutoa bilioni 20 ili kulipia 49%.
Sisi tuweke hela ya 51% kulipia nini wakati hizo share tunazimiliki sisi wenyewe?
Au sijaelewa, timu ilikuwa haina wenyewe, ili iwe na wamiliki inabidi muwekezaji aweke mpunga na wanachama waweke mpunga?
Acha utoto hapa sio FacebookMimi simu yangu aioneshi picha vizuri ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru.
Genta kama genta salute Sana shemeji yangu... Umenena mkuu...huna unafiki kabisa..Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo.
Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe klabuni ( Simba SC ) na Panjuani halafu tushindwe kumpa Adebayor 850M, tushindwe kumpa Aziz K 500M na Manzoki 450M kweli?
Yaani kuwekwe kweli hiyo 20B Msimbazi tushindwe kuwa na benchi zuri la ufundi na tumpe deiwaka Kocha mhamasishaji na mjanjamjanja (muongo muongo) Juma Mgunda aiongoze klabu /timu?
Mzee Bakhressa (tajiri Tanzania nzima na ukinibishia hili kapimwe Ubongo) aliitaka Simba SC kwa 45 ila Panjuani Kibyongo akahonga waandishi wa habari za michezo ili wampambe, wamchafue Mzee Bakhressa huku akiwahonga pesa ndefu tu waliokuwa wajumbe wa mchakato akina Mulamu na chawa akina Said Tully.
Waanze kumsifia na kufanya propaganda za kila aina ili wana Simba SC wamkubali na wamuamini kwa 100% kama mwekezaji wetu.
Hakuna mtu ambaye kwa sasa yeye, familia yake na hawara yake mkubwa ambaye pia anashea na mabosi wa CAF na FIFA anafaidika pakubwa na Simba SC kama Panjuani Kibyongo, ila amefanikiwa kutunyamazisha mimbumbumbu (wana Simba SC wote) kwa nguvu ya pesa za ukoo wake.
GENTAMYCINE nasisitiza tena kwa kusema kuwa Yanga SC iliyojipanga vyema ndani na nje ya uwanja ndiyo mabingwa tena wa NBC Premier League.
Ukiona huu uzi unakukwaza na huupendi tafadhali tafuta upesi sumu ya panya, iweke katika kikombe chako cha chai kisha imeze yote ili utupunguzie idadi ya mambumbumbu (fools) walioko Simba SC.
'Panjuani Kibyongo' hajaweka 20B.
Pumba tupu. Unalipa mishahara wewe?Mo nakumbuka alifanyaga propaganda Sana kuichukua Simba
Ila wahindi Ni MATAPELI Sana
Juzi Kati Timu ilipoingia makundi akajitokeza ,maana hizi 1.7B za makundi MO anazihitaji , unaweza kuziona ndogo ,kwa Utajiri wake, Lakini muhindi hata Shilingi Mia kwake Ni muhimu .
Punguza jazba. Tatizo mmeanza ushabiki juzi. Kama umejaa upepo kiasi hiki, vipi wenye Manchester United yao, Barcelona au Chelsea wafanyeje? Aliyekuambia kuwa simba itakuwa kwny peak muda wote ni nani?Viongozi wa Simba mafala sana alafu wanakuja na vidrama vya kijinga oooh mara Simba queen imepata udhamini wa kiasi Fulani, mara vunja bei kaja sijui na nn. Hizo danganya toto haziwezi kuleta ubingwa. Wekeza pesa update pesa. Nje ya hapo n bahati ya mtende. Huyu Mo utadhani sio mwanauchumi the way anavyoiendesha timu
Umeanza tena! Mwaka huu unalo. Suluhisho ni wewe kuanzisha timu yako wewe. Iwe yako, usajili kocha na wachezaji unaowataka ili uchukue ubingwa miaka yote ya uhai wa taifa letu. Vinginevyo utaokota mkopo.Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo.
Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe klabuni ( Simba SC ) na Panjuani halafu tushindwe kumpa Adebayor 850M, tushindwe kumpa Aziz K 500M na Manzoki 450M kweli?
Yaani kuwekwe kweli hiyo 20B Msimbazi tushindwe kuwa na benchi zuri la ufundi na tumpe deiwaka Kocha mhamasishaji na mjanjamjanja (muongo muongo) Juma Mgunda aiongoze klabu /timu?
Mzee Bakhressa (tajiri Tanzania nzima na ukinibishia hili kapimwe Ubongo) aliitaka Simba SC kwa 45 ila Panjuani Kibyongo akahonga waandishi wa habari za michezo ili wampambe, wamchafue Mzee Bakhressa huku akiwahonga pesa ndefu tu waliokuwa wajumbe wa mchakato akina Mulamu na chawa akina Said Tully.
Waanze kumsifia na kufanya propaganda za kila aina ili wana Simba SC wamkubali na wamuamini kwa 100% kama mwekezaji wetu.
Hakuna mtu ambaye kwa sasa yeye, familia yake na hawara yake mkubwa ambaye pia anashea na mabosi wa CAF na FIFA anafaidika pakubwa na Simba SC kama Panjuani Kibyongo, ila amefanikiwa kutunyamazisha mimbumbumbu (wana Simba SC wote) kwa nguvu ya pesa za ukoo wake.
GENTAMYCINE nasisitiza tena kwa kusema kuwa Yanga SC iliyojipanga vyema ndani na nje ya uwanja ndiyo mabingwa tena wa NBC Premier League.
Ukiona huu uzi unakukwaza na huupendi tafadhali tafuta upesi sumu ya panya, iweke katika kikombe chako cha chai kisha imeze yote ili utupunguzie idadi ya mambumbumbu (fools) walioko Simba SC.
'Panjuani Kibyongo' hajaweka 20B.
Kitu ambacho haufahamu hio 51% ndio Simba yenyewe (brand) unataka waweke nini tena?Wamatumbi katika ubora wetu!hamna mnachokijua kuhusu biashara wala uwekezaji! Nyie mnawaza kutafuniwa tu kama makinda,mkipata vipesa vya ugoko mnaenda riverside ubungo kununua malaya,halafu mnataka muhindi aweke pesa kijinga jinga tu kuwafurahisha wavivu!
MO kachukua steak ya asilimia 49%na nyie jichangeni vipesa vyenu vya ngama muweke pesa hio ya asilimia 51% ili mambo yawe sawa.
Kwa akili hizi za kumlalamikia muhindi awape furaha,ndio maana wahuni wa ccm wanawatawala zaidi ya miaka 60 uku mkinuka umaskini mpaka mmechacha,mnachojua ni kupiga makelele ya Simba na yanga tu.
Simba ilikuwa inajiendesha kwa mfumo wa michango ya wanachama,wakabadili katiba na kuwa kampuni wakasajili Brela,wakauza steak ya asilimia 49%kwa muekezaji.Mkuu kuna watu wanajifanya hamnazo! Yaani ulitaka Simba(wanachama) aweke pesa kwa ajili ya 51% ya hisa wakati yeye ndo kauza 49% ya hisa zake kwa Kanjibai? Wanaouliza kuhusu hizo billion 20 za ununuzi wa 49% ya hisa wako sahihi, aseme ziko wapi au yale madeni aliyokuwa anaisaidia Club kabla ya kuwa mwanahisa ndiyo kaamua kukata juu kwa juu? Ili nalo litazamwe maana Kama kulikuwa hakuna makubaliano hayo basi ni utapeli mtupu.