Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Duuuuh mondi kila akigusa tuzo kweli zari kaja na manyota yke toka ug.....viti maalum alikua hana nyota gundu tupu alikua anamtia chibu,mara n nyota kali cjui bila mimi chibu c lolote.nimeamini madam hana nyota bali ana kimondo
 
Haha eti kimondo.... Mbona msanii wake mirror hahit
 
Halaf linakuja chizi fulani linakuja kumlinganisha mond na mtu ambaye hana award yyte kimataifa... Za ndani zenyw sijui saba

Nyie ndo mambo yenu hayo
Yani huyo mtu fulani anawahenyesha kinoma.
Si unaona, hata wewe hapa umeshaanza kuhenyeka.
 
Duuuuh mondi kila akigusa tuzo kweli zari kaja na manyota yke toka ug.....viti maalum alikua hana nyota gundu tupu alikua anamtia chibu,mara n nyota kali cjui bila mimi chibu c lolote.nimeamini madam hana nyota bali ana kimondo

Huyu mwari ni special kwa waheshimiwa tuuuuuuuu!!!
 
Attachments

  • 1437860752900.jpg
    48 KB · Views: 387
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…