Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
😀😀 tuungane tu kutoa pongezi jirani maana hamna namna
Ila team sihami ng'oo jirani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 tuungane tu kutoa pongezi jirani maana hamna namna
Ila team sihami ng'oo jirani.
Kweli nyota y mganda kali toka amekua nae n tuzo 2 ....bibie cjui alikua n gundu au manyota yke hayakua y tuzo
Mhuu.
Hamjiamini tu na nyie.Lazima iwe nyota ya mwanamke?
Duuuuh mondi kila akigusa tuzo kweli zari kaja na manyota yke toka ug.....viti maalum alikua hana nyota gundu tupu alikua anamtia chibu,mara n nyota kali cjui bila mimi chibu c lolote.nimeamini madam hana nyota bali ana kimondo
Hahahaha...polepole mnanyooka..
Halaf linakuja chizi fulani linakuja kumlinganisha mond na mtu ambaye hana award yyte kimataifa... Za ndani zenyw sijui saba

hii nayo kali tuzo bila wimbo wa maana? au ni ile taarabu ndo imempatia tuzo?
hongera sana mond jitahidi tu utamfikia kiba