Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Ngoja sisi tutafute hela mambo ya team fulani na fulani wakati wao wanapata hela nyie hampati si nzuri kabisa..
Hongera Diamond
 
Bahati mbaya au nzuri siko africa na if like ningependa kukupa elimu kiduchu kuh hao nigerians ambao wana create hizo vitu inshort ni matapeli tu wa kawaida even u ni kiasi cha kusetle nao tu ili ushinde thats why unaona daily huyo daimond yupo huko lagos,ifike muda wa tz muamke kidogo ebu jiulize ulishapata kusikia diamond amepata show west or central africa ya kwenda kuperfom as david,inyanya,mr flavor or even sauti soul do ?its not going to happen!hawa watu wanawatumia tu but in reality soko la diamond,ali kiba sijui rich mavoko ni moja
 
jamaa anapenda misifa kinoma

mbona kala jeremiah na yeye kaondoka na kijiji bila promo

na jana obama kacheza na saut sol ingekuwa mr icon pasingetosha humu
 
kwa stayle hii madai ya q chief ni kweli 100%
 
babu tale mwenyewe kasema anaenda kwa waganga q chief ndo kama hivyo tena maskini ya mungu daa mr nice na yeye pia ila dawa zinamwisho wake
 
babu tale mwenyewe kasema anaenda kwa waganga q chief ndo kama hivyo tena maskini ya mungu daa mr nice na yeye pia ila dawa zinamwisho wake

Dah...jamaa inaonekana unaumia kinyama yaani...ila pole tu nahc ndo inakutosha!
 
hii nayo kali tuzo bila wimbo wa maana? au ni ile taarabu ndo imempatia tuzo?
davido na wizkid hawakuwepo kwenye hizo tuzo so kapewa tu hebu anaejua kashindanishwa na kina nani aje hapa aseme
 
Hivi diamond hizo pesa za nauli mara south afrika mara nigeria nani anampa? nakumbuka swaiba yangu Juma Nature alichaguliwa kugombea tuzo Sweden nauli ya kwenda huko alikuwa hana ,, ilibidi tufanye harambee tumchangie nauli.

Muulize Jk atakwambia huyu dogo anafanya biashara gani...😎
 
mi tuzo akiwepo devido na wizkid hizo ndo tuzo kama afrimma vile ila hizo unanunua tu
 
Mimi Simkubali Kabisa Huyu Mr.Domokapu.Coz Anauwezo Mkubwa Mitandaoni Kuliko Jukwaani.Na Hizi Tuzo Zake Horera Anazopewa Zinazihirisha Uwezo Wake Mdogo Alionao.Na Atapata Tuzo Nyingi Tu Mbovu Mbovu.

Tuzo nyingi tu mbovu mbovu haaahaa hahhahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #Dead .
 
Dah...jamaa inaonekana unaumia kinyama yaani...ila pole tu nahc ndo inakutosha!
sasa niumie kwa nn mkuu ni ushabiki tu huuu ila ukweli unajulikana davido na wizkid ndo wasanii bora africa
 
Hizi picha aisee zina niboa kinoma sijui mchizi aliwaza nini mpaka akafanya upuuzi kama huu daah!!
mkuu mi naona ilitokea bahati mbaya tu kama binadamu ila sababu inayonifanya nizisambaze ni baadhi ya mashabiki wa daimond kubisha kwamba hawezi fanya hivyo labda afande sele ndo maana nawawekea kila ninapo waona
 
hakuna bahati mbaya hapo,naona alikusudia aisee sijui lengo lilikua nini? anyway licha ya ushabiki lakini kuna mambo mengine sio ya kusapoti.hapa alivuka mipaka!
 
hakuna bahati mbaya hapo,naona alikusudia aisee sijui lengo lilikua nini? anyway licha ya ushabiki lakini kuna mambo mengine sio ya kusapoti.hapa alivuka mipaka!
daa hapo kweli kuna siri kubwa wote afadhali angekuwa mmoja basi ila ndo mastaa wetu hawa wanatafuta umaarufu at any cost hadi wanafanya vitu vya ajabu kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…