Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jitahidi mond kwani one day utakua level moja na kiba tunajua king yupo juu yako
Duh! Awards Bubu?! Unaonaje ungesema hizi awards wewe binafsi huzifahamu badala ya kusema ni awards bubu? Nenda pale Kariakoo kaanze kuwauliza Wamachinga ikiwa wanaifahamu Harvard University!!!! Nenda pande za Mchikichini waulize ikiwa wanamfahamu Jack Ma mwenye utajiri wa takriban Sh.50 trilion!!! Niishie tu kusema kwamba, tuzo zingine ni za kishua ambazo hutakaa umsikie Adam Mchomvu akizitangaza kupitia Clouds FM!
Wakati nakuachia changamoto ya wewe kunitafutia article/web content yoyote kutoka kwenye worldwide respected source inayohusu KTMA ambayo sina shaka unaifahamu, kwanza jitulize hapa:
More on Forbes
Ukiweka mkazo kwenye BOLD RED & BLUE ndipo unaweza kupata picha kuhusu hadhi ya hizo tuzo as compared na maelezo yako kwamba eti ni TUZO BUBU na kwa hakika, mwaka huu:
View attachment 271163
babu tale mwenyewe kasema anaenda kwa waganga q chief ndo kama hivyo tena maskini ya mungu daa mr nice na yeye pia ila dawa zinamwisho wake
davido na wizkid hawakuwepo kwenye hizo tuzo so kapewa tu hebu anaejua kashindanishwa na kina nani aje hapa asemehii nayo kali tuzo bila wimbo wa maana? au ni ile taarabu ndo imempatia tuzo?
Hivi diamond hizo pesa za nauli mara south afrika mara nigeria nani anampa? nakumbuka swaiba yangu Juma Nature alichaguliwa kugombea tuzo Sweden nauli ya kwenda huko alikuwa hana ,, ilibidi tufanye harambee tumchangie nauli.
mi tuzo akiwepo devido na wizkid hizo ndo tuzo kama afrimma vile ila hizo unanunua tuBahati mbaya au nzuri siko africa na if like ningependa kukupa elimu kiduchu kuh hao nigerians ambao wana create hizo vitu inshort ni matapeli tu wa kawaida even u ni kiasi cha kusetle nao tu ili ushinde thats why unaona daily huyo daimond yupo huko lagos,ifike muda wa tz muamke kidogo ebu jiulize ulishapata kusikia diamond amepata show west or central africa ya kwenda kuperfom as david,inyanya,mr flavor or even sauti soul do ?its not going to happen!hawa watu wanawatumia tu but in reality soko la diamond,ali kiba sijui rich mavoko ni moja
![]()
![]()
![]()
kwa stayle hii madai ya q chief ni kweli 100%
Mimi Simkubali Kabisa Huyu Mr.Domokapu.Coz Anauwezo Mkubwa Mitandaoni Kuliko Jukwaani.Na Hizi Tuzo Zake Horera Anazopewa Zinazihirisha Uwezo Wake Mdogo Alionao.Na Atapata Tuzo Nyingi Tu Mbovu Mbovu.
sasa niumie kwa nn mkuu ni ushabiki tu huuu ila ukweli unajulikana davido na wizkid ndo wasanii bora africaDah...jamaa inaonekana unaumia kinyama yaani...ila pole tu nahc ndo inakutosha!
mkuu Chinga One habari yako mkuuHizi picha aisee zina niboa kinoma sijui mchizi aliwaza nini mpaka akafanya upuuzi kama huu daah!!
mkuu Chinga One habari yako mkuu
mkuu mi naona ilitokea bahati mbaya tu kama binadamu ila sababu inayonifanya nizisambaze ni baadhi ya mashabiki wa daimond kubisha kwamba hawezi fanya hivyo labda afande sele ndo maana nawawekea kila ninapo waonaHizi picha aisee zina niboa kinoma sijui mchizi aliwaza nini mpaka akafanya upuuzi kama huu daah!!
mkuu mi naona ilitokea bahati mbaya tu kama binadamu ila sababu inayonifanya nizisambaze ni baadhi ya mashabiki wa daimond kubisha kwamba hawezi fanya hivyo labda afande sele ndo maana nawawekea kila ninapo waona
daa hapo kweli kuna siri kubwa wote afadhali angekuwa mmoja basi ila ndo mastaa wetu hawa wanatafuta umaarufu at any cost hadi wanafanya vitu vya ajabu kama hivyohakuna bahati mbaya hapo,naona alikusudia aisee sijui lengo lilikua nini? anyway licha ya ushabiki lakini kuna mambo mengine sio ya kusapoti.hapa alivuka mipaka!