Huyu mtoto lazima atakuwa mwanga haiwezekani kila tuzo anashinda yeye tu. Na wale wenzake wakifa lazima atakuwa ni yeye kasababisha. We mtu wivu unamuuma hadi kula hawezi akifa unadhani si ni wewe ndo umesababisha vifo vyao? Nakuonya Dai hiyo ndio tuzo ya mwisho utaniulia watu
Tuzo ya kununuaaaa
Na hii waseme sasa TUZO YA KUKATA VIUNO
Listen, jambo la kwanza msanii anatakiwa kuwa nalo ktk hili ni kukubalika na industry stakeholders. Ukishakubalika na wadai, mengine yote yanakuja yenyewe coz' huwezi never ever kualikuwa kwenye event wakati wadau hawajakukubali!Labda nitumie lugha nyepesi kutumbuiza ninakozungumzia ni kama unavyosikia davido this week alikuwa togo amealikwa kama yye davido sio kwenye awards gala au niseme nmeona hapa huyo diamond 2lastweeks ago alikuwa sijui singida sasa ije usikie siku amepata show japo ethiopia tu akapige concert hiyo ndio inaonesha kukubalika sio hiyo ya kuperfom kwenye events za haohao uliopanga nao kukupa tuzo!