Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Huyu mtoto lazima atakuwa mwanga haiwezekani kila tuzo anashinda yeye tu. Na wale wenzake wakifa lazima atakuwa ni yeye kasababisha. We mtu wivu unamuuma hadi kula hawezi akifa unadhani si ni wewe ndo umesababisha vifo vyao? Nakuonya Dai hiyo ndio tuzo ya mwisho utaniulia watu
ahahahaa kufa hawafi ila chamoto wanakiona