Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Huyu mtoto lazima atakuwa mwanga haiwezekani kila tuzo anashinda yeye tu. Na wale wenzake wakifa lazima atakuwa ni yeye kasababisha. We mtu wivu unamuuma hadi kula hawezi akifa unadhani si ni wewe ndo umesababisha vifo vyao? Nakuonya Dai hiyo ndio tuzo ya mwisho utaniulia watu

ahahahaa kufa hawafi ila chamoto wanakiona
 
Labda nitumie lugha nyepesi kutumbuiza ninakozungumzia ni kama unavyosikia davido this week alikuwa togo amealikwa kama yye davido sio kwenye awards gala au niseme nmeona hapa huyo diamond 2lastweeks ago alikuwa sijui singida sasa ije usikie siku amepata show japo ethiopia tu akapige concert hiyo ndio inaonesha kukubalika sio hiyo ya kuperfom kwenye events za haohao uliopanga nao kukupa tuzo!
Listen, jambo la kwanza msanii anatakiwa kuwa nalo ktk hili ni kukubalika na industry stakeholders. Ukishakubalika na wadai, mengine yote yanakuja yenyewe coz' huwezi never ever kualikuwa kwenye event wakati wadau hawajakukubali!

That's one, but second, show nyingi duniani zinatokana na events na sio private shows! Chukulia wanamuzki wa Nigeria kwa mfano... wote walikuja TZ for event... Fiesta! P-Square juzi tu hapa walikuwa Morocco, nako ilikuwa ni event (Music Festival)! Hata huyo Diamond hapa Tz siku hizi show zake nyingi zinatokana na events na si kwamba kuna mtu kaiandaa hiyo show! But WHY EVENTS? Wanamuziki walio class ya Diamond ni very expensive kuwalipa na kutokana na hilo ndo utakuta shows zao nyingi ni events ambazo kwa kawaida zinakuwaga na sponsors ambao sometime ndio huwalipa wasanii. Leo Diamond akikuambia umlipe ONLY 20m, show yako kama kiingilio ni sh.10,000 basi watu 2000 wote ni wake! Lakini mbaya zaidi, huwezi kufanya show ya m2 kama Diamond mahali kama Maisha Club or Billicanas... lazima ule short unless kama una sponsors! Na ukimwambia show itakuwa Uwanja wa Taifa, piga ua 20 million hachukui coz' anafahamu ana uwezo wa kujaza zaidi ya watu elfu 50 kwahiyo hawezi kukubali upatie utajiri kupitia mgongo wake na ndio maana, kwa wanamuziki aina ya Diamond inapokuja private shows za aina hiyo, kwanza unampa cha juu kisha mnakuja kupatana mapato yake kwa kila tiketi itakayouzwa mlangoni! Hivyo basi, Diamond ku-perform kwenye events kunaonesha kukubalika kwake kwa wadau wa tasnia! Hizo private shows unazosema wewe zinategemea factors nyingi na ndio maana huwezi kusikia Maisha Club kuna show anakuja Davido au P Square... suala la Davido kwenda Togo sio issue coz' ni sawa na Diamond anavyoenda Kenya, Rwanda and the like... West Africa VS East Africa!
 
de768d20a5b26f2de263d3549de6833f.jpg
7ec47e71842e3b6e16cd1a33871062a7.jpg

duu huyu jamaa siku akinunua helicopter inabidi wengine tuhame nchi #
 
Back
Top Bottom