Mnyororo wa Umaskini: Jela ya Kifamilia na Ukoo inavyozima Ndoto nyingi

Sijui chochote kuhusu mila na desturi
Siku nikiwaona wazazi nitawauliza
 
Hilo haliwezekani
Ila hilo jina lako mkuu limenichekesha kidogo.

Kwetu neno NYOLODO linatumika kumaanisha kitu kichafuu ambacho hata kukishika/kukitazama kinatia kinyaa

Hope ww ni mtu wa pwani kama hilo jina linashabihiana na maana niliyotoa
Nyolodo ni kitu kilichochafuka vibaya na maji
 
Waafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.

Halafu wengi walivyo wajinga wanakwambia watoto ni baraka.

Wanazaa watoto kuja kuwatesa tu!
 
Waafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.

Halafu wengi walivyo wajinga wanakwambia watoto ni baraka.

Wanazaa watoto kuja kuwatesa tu!
Watoto walikuwa ni baraka kipindi hicho kwakuwa kila kitu kilikuwepo na ziada juu
Na kila mtoto aliyezaliwa alipewa sehemu ya vilivyopo aendeleze
 
Maskini wanazaliana kama panya ,ili kuvunja huu mfumo wa unyonyaji na umasikini ni masikini kuacha kuzaliana ,tabaka nyonyaji watakosa watumwa wa kuwatawala na kuwanyonya kama slave labour na soko lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…