sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu.
Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae mezani upya kama ilivyo kwa machinga unavyotaka akubali bei yako unatishia kuondoka kwa matumaini kwamba akuite akubali ofa yako.
Kina bakhresa na sport pesa hawanaga hizo, ukikataa ujibebe tu, hata ukitishia kwenda kuanzisha kampuni pinzani au kwenda kwa wapinzani wao wala hawana shida, dili la kwanza la kuwapa azam haki za maudhui Mo akaanza mambo yake kwamba wafike dau refu na kwamba hata yeye anaweza kuwa na channel tv kama za azam, kusikia haya azam wakaona huyu bado mchanga sana haya mambo wacha tumfundishe adabu kibongo bongo, kilichofafa ni vitendo kwa kuwapa yanga mkataba wa bilioni 41 kwa miaka 10 (takribani bilioni 3.36 kwa mwaka baada ya kodi), pesa hizi zimeweza kuisaidia yanga kwa kiasi kikubwa kwenye kutwaa ubingwa wa makombe matatu. Mo naona kashupaza shingo kawafata kwenye mambo ya ubondia (boxing) wacha wampe mpe tena.
Leo hii Sport pesa wameweka mzigo wa 12 bilioni kwa miaka mitatu (nayo ni takribani nilioni 3.36 kwa mwaka baada ya kodi) , hiki nacho ni kisasi baada ya Mo kuibandua nembo ya sport pesa kwenye jezi,
yaani kwa sasa Yanga imeongezeka maradufu katika pessa za wadhamini bilioni 3.36 ya azam + bilioni 3.36 ya sport pesa hii ni bilioni 6.72... na hapo bado GSM hajatia mzigo wake aisee