MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

Huyu Mo naona kakutieni mimba uto wote,kila anayekuwa kwenye heat lazima aanzishe uzi kuhusu Mo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama walijua wana deal hiyo 12Bn iliwashinda nini kuipeleka timu pre season huko walikokuwa wamepanga.?
 
Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.
Msingeweka kambi avic town kwa hizo pesa
Nyie ni apeche alolo baada ya azizi k kukomba kibubu chote
 
Msingeweka kambi avic town kwa hizo pesa
Nyie ni apeche alolo baada ya azizi k kukomba kibubu chote
Kwa hiyo kuweka kambi nje ndio mpo vizuri kiuchumi? Imechemka kusajili wachezai wa tatu,wawili wakichukuliwa na Yusuph Bakheresa wa Azam ,mmoja na Yanga Aziz K.Halafu mnajitamba mnaela mnalala kwe kwenye madarasani, mnwadanganya watu wamefikia hotel kubwa,hata jina hamjatajiwa.

Sisi tupo Avic Town karibu na upepo wa bahari na camp yetu ina hadhi na viwango vyote vya kimataifa,nyie endeleeni kulala kwa double duka.
 
Kuna muda huwa nataka kupingaba na Luc Eymael juu ya kauli yake, lakini kuna muda nakubaliana naye.

Kuna muda najaribu kupingana na Manara kuhusu kauli yake kuwa wenye akili Yanga ni wawili tu Sunday na Kikwete lakini kuna muda nashindwa kumpinga.

MANARA : Kwa muda huu , Mashabiki na viongozi wa Yanga vinyesi vitakuwa vinagonga PICHU.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
We huna akili kabisa kama kubaki bongo bas azam na pesa zake angebakia chamazi na kuweka kambi bagamoyo au zenji ila kwa vile mpunga hamna mnataka justfy umaskini wenu na harkat za simba
Kwanza umepata nyumba kwenye zile jezi zenu zilitoka?
 
Nyie mngekuwa na akili msinge walaza wachezaji wenu, kwenye madarasa vitanda vya double deka mzungu wa nne.

Nitajie hapa Hotel mliofikia Misri jina lake?

Nyie wenzetu si mshazoea kuibeba MO FOUNDATION kama si kiunoni basi makalioni, huku mgongoni mkiwa na miche yenu ya sabuni za MO.
 
Umejuaje tunawalza darasani halafu unaulizia jina la hotel
Haji manara hakukosea kusema uto wote mmejaa kinyesi kwenye chupi zenu
Mbona nyie kambi ya milioni 200 mlisitisha kama mna pesa ?
 
Umejuaje tunawalza darasani halafu unaulizia jina la hotel
Haji manara hakukosea kusema uto wote mmejaa kinyesi kwenye chupi zenu
Mbona nyie kambi ya milioni 200 mlisitisha kama mna pesa ?
Taja jina la Hotel hapa mliyofikia Misri?

Nyie Rage si aliwaita mbumbumbu au mshasahau?

Kwanza mshamlipa Kaduguda hela zake za chapati?
 
Taja jina la Hotel hapa mliyofikia Misri?

Nyie Rage si aliwaita mbumbumbu au mshasahau?

Kwanza mshamlipa Kaduguda hela zake za chapati?
Luc eymael hakukosea kusema yanga wengi manyani mambwa mnabweka bweka hovyo nenda kweny official page ya simba twitter,ig,fb kacheki location walipoa halafu google hotel zinazopatikan kwenye huo mji chagua moja wapo

Sihangaiki na mtu alijaza kinyesi kwenye chupi
 
Attachments

  • 20220725_175556.jpg
    57 KB · Views: 2
Mmefikia Hotel gani ? Mbona jibu simple tu.

Au ndio mbumbumbu kama alivyosema Rage.
 
Sawa mbumbumbu na ndio maana hata jina la hoteli hamlijui. Pre-season wachezaji wanalala kwa double deka mabwenini huko,tena mzungu wa nne.
Haya unalipi jipya jengine tuongeze kwenye zile jezi zetu tulizotoa jana?
 
Pokeeni Tu hizo Hela SIMBA NI SIMBA TU WA KIMATAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…