MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

Mkuu unaelewa impact ya 51% lakini?
Atakuwa na maamuzi ya moja kwa moja ya klabu. Lakini pia kuna vitu hawezi kufanya kama kuiuza klabu nk. Mimi hoja yangu ni kama kapatikana mdhamini kaweza mzigo wa 4.5b yeye tatizo lake nn hapo? Si alisema Simba ni klabu tajiri inahitaji kuwa na budget kubwa sasa kama Sportpesa wanatoa 880m kwa mwaka yeye akija akatoa 500m tu kwa mwaka bado wengine wakijitokeza pia kuna AzamTV wanatoa 100m si tutafikia kile alichokuwa anasema?
Na pia huyu mdhamini haingiliani na biashara zake yet anauza unga juice nk wao ni sports betting hakuna mgongano wa maslahi hapo.
Halafu pia Sportpesa mmoja wa wakurugenzi ni Tarimba obviously atakuwa keshaitaarifu kampuni yake (management) kuwa Simba ipo katika mchakato fulani ndio maana wakaweka pesa yao hapo.
Mhindi aache kulalamika.
 
Sasa katika huo mkataba kulikuwa na kipengele cha kutokukaribisha mdhamini mwingine? Kama si mapenzi na timu kwanini hakwenda kuidhamini Kandambili, MBC au timu nyingine?

Hapa si mambo ya mapenzi na timu mkuu,sasa hivi tunazungumza kwa mikataba.
 
Atakuwa na maamuzi ya moja kwa moja ya klabu. Lakini pia kuna vitu hawezi kufanya kama kuiuza klabu nk. Mimi hoja yangu ni kama kapatikana mdhamini kaweza mzigo wa 4.5b yeye tatizo lake nn hapo? Si alisema Simba ni klabu tajiri inahitaji kuwa na budget kubwa sasa kama Sportpesa wanatoa 880m kwa mwaka yeye akija akatoa 500m tu kwa mwaka bado wengine wakijitokeza pia kuna AzamTV wanatoa 100m si tutafikia kile alichokuwa anasema?
Na pia huyu mdhamini haingiliani na biashara zake yet anauza unga juice nk wao ni sports betting hakuna mgongano wa maslahi hapo.
Halafu pia Sportpesa mmoja wa wakurugenzi ni Tarimba obviously atakuwa keshaitaarifu kampuni yake (management) kuwa Simba ipo katika mchakato fulani ndio maana wakaweka pesa yao hapo.
Mhindi aache kulalamika.
Umeeleweka ,ana nafasi bado ya kuidhamini timu na kuweka logo yake ikibidi
 
Aveva rudisha hela za watu , kila mwenye bia nyingi mezani ni wako , utapenda wangapi ?
 
Kumekucha na figisu figisu zitaanza baada ya huo udhamini mnono
 
Hapa ndio pa bashite kutafutia kiki,

Kwani bado hajaongea chochote?
 
Movie zingine huwa zinachanganya ubongo saa zingine.
 
Mo alikuwa anataka kujimilikisha timu kihuni alitaka awape simba pesa baadae ikija kwenye kununua timu tayari nusu ya pesa atakuwa keshatoa.Tulisema kabla ya timu kuuzwa kwanza waangalie thamani kwa idadi ya wapenzi ambao simba na yanga wanazo mdio mtaji wao, lakini yeye akawa anafanya mambo kiujanja ujanja wadhamini walimtaka afate taratibu ila yeye akawaona wajinga sasa hivi manji anawaambia yanga anawadai zaidi ya bilioni 12 lakini hakuna mwanacha,a anayejua hizo pesa zimefikaje huko.
 
Kwani Mo ni mdhamini mmiliki au mwanachama wa kawaida tu? Mchakato wa umiliki wa klabu haujakamilika. Na hata ukikamilika huyo Mo atakuwa na 51% tu ya hisa sio kwamba atamiliki klabu moja kwa Moja.
Sasa kuwa na 51% inamaanisha nin???JF imevamiwa sikuizi.
 
Back
Top Bottom