mc gregor
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 1,121
- 2,193
Umeongea pumba tupu. Direction ni nini ukilinganisha na mitaji, connections na exposure kwenye biashar?acha kupotosha watu: ni rahisi kutoboa ukianza from 0 than kukuta kila kitu tayar, kuna kitu kwenye biashara kinahusiana na direction, ukikuta biashara ya mtu ni ngumu kuendeleza kwa sababu your not part of that target: wangap waliachiwa ,mali wakapoteza kila kitu: angalia tu viwanda vya serikali vilivokuepo zaman wakati wa nyerere, sasahivi vipo wap? huo ni mfano public, zili treni zilitumika zaman zipo wap? ama maraisi wanatumia vizizi?
wako wapi wakina nakumat? ipo wap fiesta iliokua inaandaliwa na ruge? mifano ni mingi go do research
Yaani umkute mtu kapiga shule nje( exposure) kapewa kampuni tayari imesimama na equity bank ya kutosha(mitaji) ana connections na network ya kutosha ikitokea ishu moja tu anapiga simu anapewa tender mizigo inapita fasta bandarini anapunguziwa kodi etc etc alafu wewe famba utoke zako na kagadigrii chako cha udsm huna exposure yoyte ya biashara mtaji wenyewe huna hata mia connection yenyewe huna ndio uje useme wewe ni rahisi kuwa tajiri duuh embu acha kuota amka toka usingizini[emoji23][emoji23]