General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Simba ina thamani ya bilion 100?Anauza askrimu na unga wa azam ili wachezaji wale washibe wakaifunge yanga...
tusijitoe fahamu hapa thamani ya simba ni kubwa kuliko pesa zote walizozitoa...simba ina value ya zaidi ya 100bilion tshs.
Wachange wote wanunue asilimia 50 tuwape team kama hawataki watuachie timu yetu.
Kwani na yeye ana kadi ya uanachama wa Simba?!
Sio lazima,lakini ili uwe relevant tazama vigezo vya SimbaMwekezaji wa kuwekeza Tanzania kwani lazima awe Mtanzania?
Kwahiyo JKT Duvu akipanda itabifdi abinafsishwe maana kuna Ruvu Shooting ?Yaani hii ni thread iliyopo jukwaa la sports na wadau wanavotiririka kuchangia hii mada yaonesha wazi ni namna gani bado watu wengi ni mbumbumbu katika maswala ya soka.
Yaani watu hamjui lolote kuhusu CLUB LICENSING!???
Eti Bakhressa amebid kuinunua Simba na nyinyi mnaamini wakati tayari ana umiliki wa Azam FC.
Timu za majeshi huko daraja la chini zimeshaanza kubinafsishwa, majuzi Simba Sc alikuwa Dodoma kucheza friend match na Dodoma Football Club (DFC) ambapo ilikuwa ikiitwa Polisi Dodoma FC.
Na kuna timu nyingine ya majeshi nayo imebinafsishwa inaitwa Biashara FC sikumbuki ilikuwa Polisi ya mkoa gani.
Ila kifupi habari ndio, hakuna tena 'ruksa' kwa taasisi, mtu, kampuni kuwa na umiliki wa timu zaidi ya moja katika soka la nchi husika!!!
Unenya...[emoji23][emoji23][emoji23]Animiliki hata mimi nishachoka mie na maisha ya kichovu!!!🙁🙁🙁🙁🙁
Usijilazimishe kuonekana mpuuzi na matusi kibao. Kambi hazina miliki ya kitu chochote cha kijeshi, timu inamilikiwa na jeshi. Unajua nani anawalipa mshahara hao wachezaji? Uliwahi kujiuliza wanaishije ? Usilazimishe kuonekana unajua jambo usilojua.Wee mbuzi unachokiongea unakijua? Hebu zitaje timu za JWTZ? timu za JWTZ unazozungumzia ni timu za kambi husika mfano mgambo jkt ni ya tanga... jkt ruvu ya pwani means zinamilikiwa na makambi husika na sio JWTZ sijui unaelewa? Ukija polisi utakuta kuna polisi Dodoma polisi morogoro... unaiona prison mbeya ile ni timu ya magereza mbeya so hata dsm wangeweza kuwa na prison dsm sjui unaelewa? Nachomaanisha nisawa na azamu aanzishe timu nyingne mmiliki akiwa mwenye na ishiriki ligi kuu bara kama azam fc.. mfano mwingine Mmiliki wa chelsea hawezi miliki timu nyingne pale england we mbuzi umeelewa
Acha uongo, abromovic ana timu zaid ya mbiliKuna sheria inayo kataza timu mbili kumilikiwa na MTU mmoja kwenye leage moja.
Haya jery muro mdogo ake haji manara.... siwezi kupigia mbuzi zilipendwa pambana na akili yako ya njiwaUsijilazimishe kuonekana mpuuzi na matusi kibao. Kambi hazina miliki ya kitu chochote cha kijeshi, timu inamilikiwa na jeshi. Unajua nani anawalipa mshahara hao wachezaji? Uliwahi kujiuliza wanaishije ? Usilazimishe kuonekana unajua jambo usilojua.
Wachezaji wa timu za jeshi ni watumishi kama watumishi wengine jeshini. Hawamilikiwi na kambi kwa kuwa hakuna kambi inayoombewa budget wala kupewa pesa na serikali isipokuwa jeshi kama jeshi.
Hivyo hivyo kwa timu za Polisi. Jiulize kwa nini Sport Pesa wamepeleka pesa za udhamini wa Polisi Dodoma kwa IGP na sio RPC?
Mambo usiyoyajua uwe unaaacha yapite. Hakuna ujuacho kwenye mifumo ya utawala wa majeshi.
itaje timu inayomilikiwa na Abramovich kwenye EPL ukiachia Chelsea. nataka niijue namieAcha uongo, abromovic ana timu zaid ya mbili
Ziko ligi ipiAcha uongo, abromovic ana timu zaid ya mbili
Hiyo hela ya kumrudishia hiyo bilioni moja inatoka wapi?Mo arudishiwe iyo Billion 1 yake then mchakato uendelee.
Timu apewe Mo dewji tu.kwan hisa zimeanza kuuzwa lin?
hujui hii ni biashara?
Bakhresa mwenyewe ndio anaitaka timu, kuinunua mkuu.ananunua mtoto wake
Tunataka ufanisi na matokeo mazuri sio ushabiki au mapenzi. Mo ni tapeli miaka kibao yupo Simba kiujanja ujanja na hana jipya. Simba ni timu kubwa akipewa Bakhressa naamini itafikia kiwango cha kina Zamalek au TP MazembeTunataka bosi awe simba sio wa kwenye kadi aonekane simba kwelikweli,huyu azam hamjui hata Kichuya
Mbona sijakusoma Umesema tatizo bakhresa au thread na bado ukatoa mfano. Kwa timu za majeshi. Swali langu kwako kwani bakhresa ni jeshi, au mfanyabiashara na ukumbuke Azam fc inaebdeshwa na mtoto wake bakhresa, yusuph bakhresa sio mzee mwenyewe bakhresa na mzee mwenyewe vigezo vya kuinunua club anao kwa sababu Said salim bakhresa ni group of company ana hisa katika makampuni mbalimbali ya muunganiko wa azam, wakiwepo wanawe akina yusuph. Sijui kama nitakosea kukuelewesha kwa hapo mkuu.Yaani hii ni thread iliyopo jukwaa la sports na wadau wanavotiririka kuchangia hii mada yaonesha wazi ni namna gani bado watu wengi ni mbumbumbu katika maswala ya soka.
Yaani watu hamjui lolote kuhusu CLUB LICENSING!???
Eti Bakhressa amebid kuinunua Simba na nyinyi mnaamini wakati tayari ana umiliki wa Azam FC.
Timu za majeshi huko daraja la chini zimeshaanza kubinafsishwa, majuzi Simba Sc alikuwa Dodoma kucheza friend match na Dodoma Football Club (DFC) ambapo ilikuwa ikiitwa Polisi Dodoma FC.
Na kuna timu nyingine ya majeshi nayo imebinafsishwa inaitwa Biashara FC sikumbuki ilikuwa Polisi ya mkoa gani.
Ila kifupi habari ndio, hakuna tena 'ruksa' kwa taasisi, mtu, kampuni kuwa na umiliki wa timu zaidi ya moja katika soka la nchi husika!!!
Kweli mkuu hizi ni timu za kariakooIla kwenye hii waliangalia sana kigezo cha pesa, na kinachofurahisha hapa hawa wawili wote ni tycoons na wana 'asili' zinazofanana kwa kiasi kikubwa.
Unajua nini mkuu Mayonene, hizi timu mbili hata ukiingiza mfumo wa hisa 'uswahili' hautaisha ni yaleyale.