Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
Mkuu wewe Ni kichwa maji sio??
Hebu soma huo uzi Na uniambie offa ya mo imetajwa wapi!!
Acha ushoga
Mo billion 20 ilikuwa ndio ofa yake, kabla ajapata changamoto ya billion 25 kutoka kwa bakhresa nae, wote wakiitaka Simba mkuu.
 
Ivi kwa nini mmoja wao haendi kuwekeza pale jirani kwa watani zetu Yanga Africa ?

Kwanini woote wang'ang'anie kuzi deposit pesa zao hapa Simba Sports Club Pekee ?

It is not fare anyhow [emoji1]
 
Sheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
Sheria za fifa zina apply kwny michuano yao kwamba timu moja yenye mdhamini au mmiliki mmoja haiwezi kushiriki mashindano sawa pamoja hii kwa afrika haiwezekani maana bingwa mmoja anaenda caf mwingine shirikisho
 
Sheria haziruhusu mmiliki mmoja kuwa na timu zaidi ya moja


Hii itakuwa ngumu sana zaidi ya kuchukuliwa na Mo tu
kumiliki sio tatizo tatizo lipo kwny ushiriki tu kwa africa haiwezi tokea simba na azam zote zishiriki mashindano sawa ya fifa
 
Redbull Salzburg vs redbull Leipzig zilileta utata msimu uliopita
 
Kumiliki timu 2 nchini hakutaweza leta matatizo kweli?! Hasa zinapokutana, labda matokea kupangwa n.k. Ebu wajuzi waje watujuze..
 
Mo aendelee na team.bakharresa anakuja kuiUA simba ibaki azam
 
Nafikiri niliisikia mipango ya mo
Ila kwa baresa sijasikia mipango yake kwamba hizo bilioni 25 zitwekwa wapi ili zizidi kuongezeka na kufanya vitu vya maendeleo

Hii ikifanikiwa jezi za simba zitakuwa adimu mtaani
 
Ninachojua ni siku kumi zimetolewa wajitokeze
Mo ataongeza dau maana hizo siku ni nyingi watajitokeza wengi sana
 
Nafikiri niliisikia mipango ya mo
Ila kwa baresa sijasikia mipango yake kwamba hizo bilioni 25 zitwekwa wapi ili zizidi kuongezeka na kufanya vitu vya maendeleo

Hii ikifanikiwa jezi za simba zitakuwa adimu mtaani
Bharesa ni mtu wa vitendo kuliko maneno. Ila kwa vyovyote vile lazima kuwepo za wawekezaji zaidi wa mmoja maana wahindi siwaamini hata kidogo.
 
We utakuwa upande wa pili wazee wa kutembeza bakuri

Sina timu tz ila sioni anachotaka kukifanya labda kama anataka kuigeuza simba iwe academy yake akomae na azam ushindani uendelee anachotaka kukifanya kama matimu ya jkt tu kuna muda yanahurumiana
 
Sheria za TFF zilikuwa kimyaa ila juzi kaat walisema tasisi hailusiw kuwa na tim mbili kweny ligi.
Kwahiyo JKT Ruvu akipanda ligi kuu Ruvu Shooting atashushwa?

Polisi Moro na,Polisi Dar,Polisi Dom na Polisi Tabora nazo hazitakiwi kupanda ligi?
 
Tajiri kijana barani africa Bw, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara, mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania Billion 25 huku Bw, Mo akidhani yupo peke yake.

Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya kuinunua timu ya simba uwe mwanachama hai wa Club, sasa Bw, Bakhresa vigezo vyote anavyo Simba inauza asilimia 50 ya hisa kwa wadau wake, wakati huo huo wanachama wanaona bora timu akabidhiwe Bw, Mo kwa kigezo alishatoa pesa zake, karibu billion moja.

Kwa ajili ya kuisaidia timu. Wakati huo Bakhresa alikuwa wapi wanachama Wakihoji, na wengine wakimtaka Bw, Mo aongeze mpunga kumzidi Bakhresa. Msimamizi wa mchakato huo Jaji mihaya anasema mchakato bado unaendelea.
Kwenye kisu Kirefu ndio apewe timu
 
Wee mbuzi unachokiongea unakijua? Hebu zitaje timu za JWTZ? timu za JWTZ unazozungumzia ni timu za kambi husika mfano mgambo jkt ni ya tanga... jkt ruvu ya pwani means zinamilikiwa na makambi husika na sio JWTZ sijui unaelewa? Ukija polisi utakuta kuna polisi Dodoma polisi morogoro... unaiona prison mbeya ile ni timu ya magereza mbeya so hata dsm wangeweza kuwa na prison dsm sjui unaelewa? Nachomaanisha nisawa na azamu aanzishe timu nyingne mmiliki akiwa mwenye na ishiriki ligi kuu bara kama azam fc.. mfano mwingine Mmiliki wa chelsea hawezi miliki timu nyingne pale england we mbuzi umeelewa
Mkuu JKT zote ni zipo chini yaJWTZ
Km ilivyo kwa Polisi zote zipo chini ya Polisi Tz

Labda ungeleta fact zingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom