Tajiri kijana barani africa Bw, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara, mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania Billion 25 huku Bw, Mo akidhani yupo peke yake.
Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya kuinunua timu ya simba uwe mwanachama hai wa Club, sasa Bw, Bakhresa vigezo vyote anavyo Simba inauza asilimia 50 ya hisa kwa wadau wake, wakati huo huo wanachama wanaona bora timu akabidhiwe Bw, Mo kwa kigezo alishatoa pesa zake, karibu billion moja.
Kwa ajili ya kuisaidia timu. Wakati huo Bakhresa alikuwa wapi wanachama Wakihoji, na wengine wakimtaka Bw, Mo aongeze mpunga kumzidi Bakhresa. Msimamizi wa mchakato huo Jaji mihaya anasema mchakato bado unaendelea.