Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
si dhani kama fifa wanaruhusu mmiliki mmoja kuwa na team mbili zinazo cheza league moja!ndo maana hata team za majeshi zinatakiwa kuwa moja tu!
 
Wee mbuzi unachokiongea unakijua? Hebu zitaje timu za JWTZ? timu za JWTZ unazozungumzia ni timu za kambi husika mfano mgambo jkt ni ya tanga... jkt ruvu ya pwani means zinamilikiwa na makambi husika na sio JWTZ sijui unaelewa? Ukija polisi utakuta kuna polisi Dodoma polisi morogoro... unaiona prison mbeya ile ni timu ya magereza mbeya so hata dsm wangeweza kuwa na prison dsm sjui unaelewa? Nachomaanisha nisawa na azamu aanzishe timu nyingne mmiliki akiwa mwenye na ishiriki ligi kuu bara kama azam fc.. mfano mwingine Mmiliki wa chelsea hawezi miliki timu nyingne pale england we mbuzi umeelewa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bakhresa amekuwa akifadhili simba muda wote bila ya kutangaza kwenye vyombo vya habari kama Mo……Timu apewa mtu yeyote mwenye dau kubwa si lazima Mo hata kama ni Manji mpira ni biashara si blah blah waampe tu Bakhresa basi coz ndio katoa dau kubwa
Mkuu manji tena apewe simba, Utakuja kufa kibudu.
 
Azam abak na timu yake hizo pesa si angewatupia wachezaj wake haina maana
 
Yea hapo hapo mkuu so simba sc ina thamani zaidi ya 25 billion tukijumlisha na the remaining 50%??
Ndio simba inazaidi ya thamani 25B ..endapo dau ya Bakhresa ikikubaliwa atapewa 50% au 49% hivyo atakuwa na Hisa kubwa kuliko wote ,hizo zingine 51% watapewa wanachama wengine kwa kuzinunua Hisa

25B kwa 49% au 50%

50% zilizobaki zingine zikinunuliwa zote kwasasa itafika kabda 50B na kama hazikununuliwa zote miaka ijayo unaweza kushangaa hisa zikapanda bei na kufika hata ,60B
 
Manji hana sifa Mkuu.

Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu.

Simba watumie principle hii:

Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB) usiyemjua.

Timu apewe MO.

Kwani Mo ana jipya gani Mkuu? Africa Lyon ilimshinda akaiuza SI heri SSB Azam yake walau imefika mahali.

Kama lengo la Simba ni kubadili mfumo apewe mwenye sifa na dau la kueleweka haya mambo ya shetani na malaika kama lengo la mchakato lilikuwa kumpa Mo lakini wakumbuke Mo Ni mfanyabiashara tu na vile vile ana-record ya kushindwa tayari.
 
Kanuni zinaruhusu timu mbili za ligi kumilikiwa na mtu m1?
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 bakhresa nae siku zote alikuwa wapi?
Anauza askrimu na unga wa azam ili wachezaji wale washibe wakaifunge yanga...

tusijitoe fahamu hapa thamani ya simba ni kubwa kuliko pesa zote walizozitoa...simba ina value ya zaidi ya 100bilion tshs.

Wachange wote wanunue asilimia 50 tuwape team kama hawataki watuachie timu yetu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mfate Mo na Bakhresa, ukawape vipande vyao mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mfate Mo na Bakhresa, ukawape vipande vyao mkuu.
Wote wamo humu wanasoma na kama hawasomi basi kina shafii dauda na maulidi kitenge wanasoma humu huu ujumbe wataupata kupitia vipindi vya michezo vya clouds na e fm. Wachange wanunue team hisa 50% kwa 50bil.
 
Naunga mkono hoja mkuu.
 
Mkuu wewe Ni kichwa maji sio??
Hebu soma huo uzi Na uniambie offa ya mo imetajwa wapi!!
Acha ushoga
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom