Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
- #81
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie hapana aiseeeMtoa
Madam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie hapana aiseeeMtoa
Madam
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wee mbuzi unachokiongea unakijua? Hebu zitaje timu za JWTZ? timu za JWTZ unazozungumzia ni timu za kambi husika mfano mgambo jkt ni ya tanga... jkt ruvu ya pwani means zinamilikiwa na makambi husika na sio JWTZ sijui unaelewa? Ukija polisi utakuta kuna polisi Dodoma polisi morogoro... unaiona prison mbeya ile ni timu ya magereza mbeya so hata dsm wangeweza kuwa na prison dsm sjui unaelewa? Nachomaanisha nisawa na azamu aanzishe timu nyingne mmiliki akiwa mwenye na ishiriki ligi kuu bara kama azam fc.. mfano mwingine Mmiliki wa chelsea hawezi miliki timu nyingne pale england we mbuzi umeelewa
Mkuu manji tena apewe simba, Utakuja kufa kibudu.Bakhresa amekuwa akifadhili simba muda wote bila ya kutangaza kwenye vyombo vya habari kama Mo……Timu apewa mtu yeyote mwenye dau kubwa si lazima Mo hata kama ni Manji mpira ni biashara si blah blah waampe tu Bakhresa basi coz ndio katoa dau kubwa
50% ya hisa na sio thamani halisi ya 100% hisaMimi nina maswali mawili tu... Je hii taarifa ni ya kweli? Na kama ni kweli je Simba SC is it worth it 25billion?
Zipi?Sheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
Yea hapo hapo mkuu so simba sc ina thamani zaidi ya 25 billion tukijumlisha na the remaining 50%??50% ya hisa na sio thamani halisi ya 100% hisa
Ndio simba inazaidi ya thamani 25B ..endapo dau ya Bakhresa ikikubaliwa atapewa 50% au 49% hivyo atakuwa na Hisa kubwa kuliko wote ,hizo zingine 51% watapewa wanachama wengine kwa kuzinunua HisaYea hapo hapo mkuu so simba sc ina thamani zaidi ya 25 billion tukijumlisha na the remaining 50%??
Manji hana sifa Mkuu.
Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu.
Simba watumie principle hii:
Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB) usiyemjua.
Timu apewe MO.
Hapo upo sahihi mkuu, naunga mkono hoja.Azam abak na timu yake hizo pesa si angewatupia wachezaj wake haina maana
Anauza askrimu na unga wa azam ili wachezaji wale washibe wakaifunge yanga...😀 😀 😀 😀 😀 😀 bakhresa nae siku zote alikuwa wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mfate Mo na Bakhresa, ukawape vipande vyao mkuu.Anauza askrimu na unga wa azam ili wachezaji wale washibe wakaifunge yanga...
tusijitoe fahamu hapa thamani ya simba ni kubwa kuliko pesa zote walizozitoa...simba ina value ya zaidi ya 100bilion tshs.
Wachange wote wanunue asilimia 50 tuwape team kama hawataki watuachie timu yetu.
Mo kaweka dau la kiasi gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ina maana hata uzi hujausoma ukakimbilia ku comment!!! Umekurupuka utadhani unakunya nje!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote wamo humu wanasoma na kama hawasomi basi kina shafii dauda na maulidi kitenge wanasoma humu huu ujumbe wataupata kupitia vipindi vya michezo vya clouds na e fm. Wachange wanunue team hisa 50% kwa 50bil.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mfate Mo na Bakhresa, ukawape vipande vyao mkuu.
Mkuu wewe Ni kichwa maji sio??Ina maana hata uzi hujausoma ukakimbilia ku comment!!! Umekurupuka utadhani unakunya nje!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hoja mkuu.Wote wamo humu wanasoma na kama hawasomi basi kina shafii dauda na maulidi kitenge wanasoma humu huu ujumbe wataupata kupitia vipindi vya michezo vya clouds na e fm. Wachange wanunue team hisa 50% kwa 50bil.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu wewe Ni kichwa maji sio??
Hebu soma huo uzi Na uniambie offa ya mo imetajwa wapi!!
Acha ushoga