Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
- #61
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Nani mkuu?Hata ww akitaka kukumiliki anaweza. Hela zinaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Nani mkuu?Hata ww akitaka kukumiliki anaweza. Hela zinaongea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Si katika hiyo billion 25, itanyofolewa billion 1, yake kama wataamua kumpa bakhresa timu, lkn kwa mapendekezo yangu mimi timu wampe Mo, kwa sababu kwenye shida na raha Mo alikuwa na timu bega kwa bega.Nani wa kurudisha?
Basi sawa umesomeka mkuu.Sheria za TFF zilikuwa kimyaa ila juzi kaat walisema tasisi hailusiw kuwa na tim mbili kweny ligi.
So??Azam =simba B
Madam[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Nani mkuu?
Wewe ni nani pale Simba?Mo arudishiwe iyo Billion 1 yake then mchakato uendelee.
Acha uongo JWTZ ana timu ngapi? Polisi wenyewe wamewahi kuwa na timu zaidi ya mojaMtu mmoja hawezi miliki timu mbili ligi moja.... ila hapa kule azam atasema ni timu ya kampuni alafu simba anaingia kama mtu binafsi
Wewe ni nani pale Simba?
Sasa kweli ka bilioni ka 5 tu katamsumbua mo kweli? Ataongeza hapo ka bilioni ka moja tu ili ziwe 26Billion 20.
Wee mbuzi unachokiongea unakijua? Hebu zitaje timu za JWTZ? timu za JWTZ unazozungumzia ni timu za kambi husika mfano mgambo jkt ni ya tanga... jkt ruvu ya pwani means zinamilikiwa na makambi husika na sio JWTZ sijui unaelewa? Ukija polisi utakuta kuna polisi Dodoma polisi morogoro... unaiona prison mbeya ile ni timu ya magereza mbeya so hata dsm wangeweza kuwa na prison dsm sjui unaelewa? Nachomaanisha nisawa na azamu aanzishe timu nyingne mmiliki akiwa mwenye na ishiriki ligi kuu bara kama azam fc.. mfano mwingine Mmiliki wa chelsea hawezi miliki timu nyingne pale england we mbuzi umeelewaAcha uongo JWTZ ana timu ngapi? Polisi wenyewe wamewahi kuwa na timu zaidi ya moja
zikojeSheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
Kwani na yeye ana kadi ya uanachama wa Simba?!Manji kaweka 30b mezani dk 5 zilizopita
Uwe mmiliki wa timu mbili katika ligi moja, sidhani kama inaruhusiwa!Sheria za FIFA kwani, zinasemaje kwenye mchakato kama huo mkuu?