Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
Nani wa kurudisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Si katika hiyo billion 25, itanyofolewa billion 1, yake kama wataamua kumpa bakhresa timu, lkn kwa mapendekezo yangu mimi timu wampe Mo, kwa sababu kwenye shida na raha Mo alikuwa na timu bega kwa bega.
 
Ni kweli FIFA iliagiza timu zilizo chini ya mmiliki mmoja ziunganishwe au zibadilishwe umiliki. Sijajua kama hii ya hisa kama itaapply na utaratibu huo. Actually si sheria, ni kama utaratibu, na TFF iliziarifu timu za majeshi mfano Polisi au JKT zote zinazocheza ligi moja zianze kujiandaa
 
Mtu mmoja hawezi miliki timu mbili ligi moja.... ila hapa kule azam atasema ni timu ya kampuni alafu simba anaingia kama mtu binafsi
Acha uongo JWTZ ana timu ngapi? Polisi wenyewe wamewahi kuwa na timu zaidi ya moja
 
Acha uongo JWTZ ana timu ngapi? Polisi wenyewe wamewahi kuwa na timu zaidi ya moja
Wee mbuzi unachokiongea unakijua? Hebu zitaje timu za JWTZ? timu za JWTZ unazozungumzia ni timu za kambi husika mfano mgambo jkt ni ya tanga... jkt ruvu ya pwani means zinamilikiwa na makambi husika na sio JWTZ sijui unaelewa? Ukija polisi utakuta kuna polisi Dodoma polisi morogoro... unaiona prison mbeya ile ni timu ya magereza mbeya so hata dsm wangeweza kuwa na prison dsm sjui unaelewa? Nachomaanisha nisawa na azamu aanzishe timu nyingne mmiliki akiwa mwenye na ishiriki ligi kuu bara kama azam fc.. mfano mwingine Mmiliki wa chelsea hawezi miliki timu nyingne pale england we mbuzi umeelewa
 
Mimi nina maswali mawili tu... Je hii taarifa ni ya kweli? Na kama ni kweli je Simba SC is it worth it 25billion?
 
Bakhresa amekuwa akifadhili simba muda wote bila ya kutangaza kwenye vyombo vya habari kama Mo……Timu apewa mtu yeyote mwenye dau kubwa si lazima Mo hata kama ni Manji mpira ni biashara si blah blah waampe tu Bakhresa basi coz ndio katoa dau kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom