Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu Bakhresa sawa wewe ni mjasiria mali lakini hizi sasa ni sifa

1.unga wewe
2.Maji wewe
3.ice cream wewe
4.azam media wewe
5.azam marine
6.keki wewe
7.chapati wewe
8.maandazi wewe
9.mkate wewe

Sawa umewavuruga hadi mama Ntilie,na ving'amuzi vingi umewavuruga. saizi umeingia simba unataka kumvuruga Dewji kwenye mchakato wa Hisa kwa kutoa mtonyo mkubwa uliotukuka sio poa jamani kuwa na huruma
a18700de9b9b3b4671882f5ffe98c53e.jpg
 
kuna uwezekano mkubwa sana kuwa mtoto wake abuu ndio anaitaka simba
 
Manji hana sifa Mkuu.

Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu.

Simba watumie principle hii:

Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB) usiyemjua.

Timu apewe MO.
Mo alinunua Mbagala market akaitosa, kama kigezo chako ni hicho MO hafai!
 
Hata jf akiitaka ataimiliki tu cha muhimu mpunga uwekwe mezani kwisha!
 
Animiliki hata mimi nishachoka mie na maisha ya kichovu!!!🙁🙁🙁🙁🙁
 
MO anastahili....Bakhresa akichukua Simba mchezo kati ya Azam na Simba hautakuwa wa kuvutia...............
 
Tumuuzie hata nchi kama inawezekana! Maana duuu, sina hata hela ya kiingilio cha mechi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom