Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Sheria haziruhusu mmiliki mmoja kuwa na timu zaidi ya mojaSheria za FIFA kwani, zinasemaje kwenye mchakato kama huo mkuu?
Hii itakuwa ngumu sana zaidi ya kuchukuliwa na Mo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria haziruhusu mmiliki mmoja kuwa na timu zaidi ya mojaSheria za FIFA kwani, zinasemaje kwenye mchakato kama huo mkuu?
Mo alinunua Mbagala market akaitosa, kama kigezo chako ni hicho MO hafai!Manji hana sifa Mkuu.
Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu.
Simba watumie principle hii:
Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB) usiyemjua.
Timu apewe MO.
Chukua like yako mkuuSheria haziruhusu mmiliki mmoja kuwa na timu zaidi ya moja
Hii itakuwa ngumu sana zaidi ya kuchukuliwa na Mo tu
Nani wa kurudisha?Mo arudishiwe iyo Billion 1 yake then mchakato uendelee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ebu kula like kwanza hapo ulipo.Siku hizi unajua kuteka watu kwenye nyuzi zako.
Sheria zipi hizo?Sheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
Hzo hela kazipata wapManji kaweka 30b mezani dk 5 zilizopita
Duh!?
Hapo patamu!
Lakini kumpa timu Bahresa Ni kuiua Simba!!
Mo apewe timu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Animiliki hata mimi nishachoka mie na maisha ya kichovu!!!🙁🙁🙁🙁🙁
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] duuh!Tumuuzie hata nchi kama inawezekana! Maana duuu, sina hata hela ya kiingilio cha mechi