Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

Na uzuri na mimi nimezungumzia wanamichezo ambao jamii ilikuwa na matarajio makubwa kwao, na baadaye kushindwa kufikia hayo matarajio!

Hasheem Thabit na huyo dogo ni mifano halisi. Wala sina shida binafsi na yeye. Nimewalinganisha tu.
Litakuwa Kolo hilo kumbe mkenge walioingia Kwa Kibu Denis hata Yanga ilishaingia mkenge Kwa Ditram Nchimbi, hawa ni wachezaji wa kurukaruka tu ndani bila kuleta matokeo mbaya zaidi Taifa stars ndio inategemea wachezaji wa category hiyo, tumekwama.
 
Sasa unaandika kitu kama huna kichwa, uswahilini wapi au shule IPI ilikuwa na viwanja vya basketball?
 
Hasheem 35, is a Tanzanian professional basketball player for the Sichuan Blue Whales of the Chinese Basketball Association (CBA). He played college basketball for UConn before being drafted second overall in the 2009 NBA draft by the Memphis Grizzlies. His performance as a second overall draft pick has led many analysts to label him as one of the "biggest busts" in NBA history.[2][3]
 
Hekeem Olajuwan ni Mnigeria sio Mghana!
 
Nigeria, Senegal na Angola ndio timu bora za muda wote za kikapu kwa Afrika...
Kwenye FIBA rankings kwa sasa namba moja ni Tunisia,hizo nilizozitaja nazo zinfanya vizuri South sudan wapo nafasi ya nane,Dr Congo 11,Nigeria ya saba na hizo ulizozitaja zipo kwenye list ya kumi bora...
 
Kwa ule mpunga wa nba na bia zetu huku za buku buku akaona amemaliza na kweli amemaliza maana kibongo bongo naona yuko vizuri
Ndio mambo ya kuja kukatana mitama na kina Tid.
Unyakyusa mwingi Sana 🤣🤣🤣
Kila siku yuko bongo huku league inakaribia wenzie wanajifua huko balaa ye yuko bongo anazurula tu na kina mwajuma ndala ndefu.
Anarudi game hii hapa huku ana hang over kibao.
Wakati kuna madogo mle wanajifua km mbwa wapate chansi tu kutoboa
 
Hata
Hata serikali nayo haikuweka full support ya mchezo huu,zamani ligi ilikuwa ni ya Dar es salaam tu kabla ya kuja ligi ya taifa ya Basketball na kupata wadhamini kidogo ndio angalau serikali ikaanza kuengage,zamani ilikuwa tunaenda Upanga au Oysterbay kucheck ligi ya mkoa kulikuwa na vijana wanafanya vizuri sana kama Kina Byum El samieh,akina Gabby lubby na wengineo kutoka timu za Vijana,Pazi n.k lakini cha ajabu umri umeshaenda kwa sasa wamebaki wanashangaana tu Dar na wakati walikuwa na vipaji vikubwa sana vya B ball,angalau B ball kitaa ilitegemewa kuwatoa madogo nayo expectations yake haikuwa real badi tupotupo tu km taifa
 
Dennis rodman rafiki wa rais wa north Korea,miyeyusho sana
Urafiki wa ki jumalokole, mwanaume mzima unaitwa unaambiwa na mwanaume mwenzio kaa hapo kula bata mi nakupenda tu ntalipa unaona mserereko kumbe uterezi utahusika
 
Na ndio maana hata viwanja bongo vilikuwa ushuhani Upanga Don Bosco,Oysterbay na kwingineko suala la kukuta kiwanja Tandale kwa tumbo ilikuwa ni maajabu sana.

Hasheem kama alivyosema mdau hapo juu ni mswazi mwenzetu passion ya Basketball alikuwa kutokana na urefu wake kanali kipingu akaona asiishie kufuta ubao tu ndio akaanza kumtrain train na connection za kanali jamaa akajikuta yupo college USA huko akapata bahati ya kuwa kwenye NBA draft na bahati nzuri akawa wa pili kwenye overall picked akachaguliwa pamoja na kina Steph Curry na washkaji wengine,the rest ilibaki history
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…