Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Litakuwa Kolo hilo kumbe mkenge walioingia Kwa Kibu Denis hata Yanga ilishaingia mkenge Kwa Ditram Nchimbi, hawa ni wachezaji wa kurukaruka tu ndani bila kuleta matokeo mbaya zaidi Taifa stars ndio inategemea wachezaji wa category hiyo, tumekwama.Na uzuri na mimi nimezungumzia wanamichezo ambao jamii ilikuwa na matarajio makubwa kwao, na baadaye kushindwa kufikia hayo matarajio!
Hasheem Thabit na huyo dogo ni mifano halisi. Wala sina shida binafsi na yeye. Nimewalinganisha tu.