change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Watanzania wengi low IQ,yaani ile critical capacity wengi hawana!kila bondia kabla ya kupanda jukwaani lazima alikuwa na mkataba wake kulingana na ubora wake, suala la bonus ya Bajaj hio ilikuwa ni strategies ya kibiashara ndio maana imetolewa kama surprise, mwishoni mwa game ili Bajaj wapate attention na mailage,kitu ambacho wamefaulu.hao wengine walioshinda
wamepewa bonus gani ?
Ingekiwa busara hiyo zawadi ya bajaj wewe umeiita bonus isingetangazwa hadharani angepewa kimya kimya
maana baada ya pambano kila mtu anaongelea Bajaj! Mama Samia anasema wabongo wengi wamekulia na utapiamlo ndio maana hata vitu vidogo kama hivi wanashindwa kuelewa.