Mo Boxing: Ibrahim Class ashinda kwa KO dhidi ya Bondia wa Mexico

Daah Ibraah mapambano yake hayajawahi kuboa. Ila yote kwa yote MO amejipanga ameonyesha tofauti kubwa sana ,hili pambano limeandaliwa vizuri.

Ndugu zangu maboxer sasa hivi waache uhuni na usela nnya, boxer sasa hivi ina wawekezaji wa maana mpaka sasa kuna Azam,kuna MO.
 
Boxer kwa sasa ina wawekezaji ndo umeandika kitu gani? Si uandike tu sentensi moja ya kiswahili..
 
Pamoja na kwamba ameshida lakinì watanzania tumeonyesha inhuman behaviour. Hata kama ni mchezo ,mwenzako anapopata bahati mbaya ya kuumia mchezoni huwezi kushangilia ni jambo la kuanngalia usalama wake. Sasa naona bondia na wapambe wake wamevamia jukwaa wanashangilia bila kujua hali ya mpinzani anayepatiwa matibabu
 
Daah Ibraah mapambano yake hayajawahi kuboa. Ila yote kwa yote MO amejipanga ameonyesha tofauti kubwa sana ,hili pambano limeandaliwa vizuri.

Ndugu zangu maboxer sasa hivi waache uhuni na usela nnya, boxer sasa hivi ina wawekezaji wa maana mpaka sasa kuna Azam,kuna MO.
Bado gsm nae anakuja na boxing yakee patakuwa Ni uwanja wa ngumi inchi hi vijana changamkeni fursa GSM ANAJIANDAA KUAANDA NAE YA KWAKE

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba ameshida lakinì watanzania tumeonyesha inhuman behaviour. Hata kama ni mchezo ,mwenzako anapopata bahati mbaya ya kuumia mchezoni huwezi kushangilia ni jambo la kuanngalia usalama wake. Sasa naona bondia na wapambe wake wamevamia jukwaa wanashangilia bila kujua hali ya mpinzani anayepatiwa matibabu
Sikia wewe

Mexican kachagua ngumi mwenyewe
 
Back
Top Bottom