Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Huyu si mtangazaji wa ngumi bali ni mshabiki wa ngumi, hawezi na hata wachambuzi wao hakuna kitu ujuaji mwingi lakini kwa ndani hapa, mchambuzi wa ngumi namkubali ni mmoja tu na sikuhizi simsikii kabisa, yule kijana ' Jimmy Kabwe ' yule huwa hana upande yaani akichambua ngumi unasema huyu anaijua kazi yake na si hawa wachambuzi mandazi.Hivi huyu Nyembela mnamuelewa kweli utangazaji wake
Mbona yupo biased sana
Rudi lile pambano la Mtwara kauli zao dhidi ya Refer, yaani wao wanajiona ndio wajuzi kuliko na maneno yao ndio sahihi