Mo Boxing: Ibrahim Class ashinda kwa KO dhidi ya Bondia wa Mexico

hao wengine walioshinda
wamepewa bonus gani ?
Ingekiwa busara hiyo zawadi ya bajaj wewe umeiita bonus isingetangazwa hadharani angepewa kimya kimya
Watanzania wengi low IQ,yaani ile critical capacity wengi hawana!kila bondia kabla ya kupanda jukwaani lazima alikuwa na mkataba wake kulingana na ubora wake, suala la bonus ya Bajaj hio ilikuwa ni strategies ya kibiashara ndio maana imetolewa kama surprise, mwishoni mwa game ili Bajaj wapate attention na mailage,kitu ambacho wamefaulu.

maana baada ya pambano kila mtu anaongelea Bajaj! Mama Samia anasema wabongo wengi wamekulia na utapiamlo ndio maana hata vitu vidogo kama hivi wanashindwa kuelewa.
 
Yule dogo ibra Ni mpuuzi Sana yeye akifanyiwa hvyo atapenda

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pale alikuwa anatafuta clean knockout wamekiko na roho zao za paka angeweza simama tena yule, ukipata chance fanya clinical finishing namna Ile..!
 
Wabongo kazini,hamnaga jema[emoji23][emoji23]
Akipigwa mgeni KAONEWA
akipigwa mwenyeji HATUJUI

SHUBAMIT[emoji16]
 
Yule dogo ibra Ni mpuuzi Sana yeye akifanyiwa hvyo atapenda

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kanapenda sifa,na ni upuuzi na ushamba, kitendo cha kuninginiza mikono chini ni ishara ya ku surrender , halafu kanakwenda kumsukumia ngumi mtu ambaye amekubali na yupo kwenye uelekeo wa kuanguka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…