Mo Dewj weka bilioni 20 zetu, acha janja janja

Rage alisema mashabiki wengi ni mbumbumbu, ukweli hauzimwi kwa 'vijitusi uchwara ' hyo timu ni ya uma, sio baba zenu.
Wewe ni juha tu kama mlivyo wanayanga wote. Sisi furaha yetu ni ushindi na mataji kama Mo ameyaleta hayo aendelee tu kwani hakuna kitu tumewekeza pale kuwa tunataka hela yetu irudi. Mbona hapo kwenu kabla ya kuja Ghalib mlikuwa mnatembeza bakuli ilhali mko mamilioni ya washabiki na wanachama tena mnajiita wananchi.
 
Mkataba wa chief Magungo wa msovero karne hii? Wewe kawako ni kushinda? Umeshunda nini msimu huu? Mpaka timu ipigike ndio mdai pesa za timu? Ina maana tunafunika ukweli kwasababu timu inashinda?
 
Ya umma wakati huna uwezo wa kufanya japo robo ya anachokifanya Mo kwa simba
Mimi sio muwekezaji sheikh, mimi ni mwanachama pia nalipia kadi. Mo Dewj ni muwekezaji pale simba he has rights to fulfill his obligations according to per club constitution... jamani mnajitia uchizi kwenye vitu wazi
 
Nje ya mada, nazungumza timu yetu ya simba.. wewe ni shabiki hoya hoya
 
Unataka Ziwekwe kwenye kabati au sanduku?
 
Nenda benki kaangalie salio kwenye akaunti kama hazipo mfuate MO mwenyewe atakupatia kama unavyozidai utafikiri zako na familia yako. Ukiambiwa ununue hata OMO moja ya kufua jezi ya Chama huna halafu unabwabwaja ka chura. Utopolo ni utopolo tu. Ukiendelea kufuatilia mambo ya Simba iliyoko makundi yule Mwarabu mweupe atakufumua tena wiki ijayo unakuwa looser of looser maana tayari wewe ni looser na unashiriki ligi ya malooser.
 
Nje ya mada, nazungumza timu yetu ya simba.. wewe ni shabiki hoya hoya
Wewe ni Utopolo ndiyo maana hoja zako zimekaa kiucochezi zaidi,kama ungekuwa mdau wa Simba kuna njia sahihi ya kuhoji na kupata taarifa sahihi. Wewe ingependeza zaidi ukazungumzia mambo ya Yanga mchakato umefika wapi na siyo hapa ungeuliza kwenye vikao vyenu.
 
Mie ni simba na nna uchungu na timu
 
Hujui ofisi ya Mo ilipo ili ukamshinikizie hapo ofisini kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…