Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Labda milioni 5 ni kigabacholi kwa kiswahili ndio bodaboda.
Mie ni mpenzi wa simba s.c kama kweli aliwaahidi milioni 5 basi awapasie milioni 5 zao, kwenda nje ya ahadi inavunja morali, usikute kuna watu walikuwa wameshapangia mpaka bajeti milioni 5 zao.
Ungeweka ile picha ya gymkhanaKatika kuwapa Motisha za Ubingwa wa Tanzania Premier league, Tajiri wa Simba Mohamedi MO amewaahidi wachezaji wote wa Simba waliochukua Ubingwa mwaka 2018-2019 kuwazawadia Bodaboda
Aisee....sasa Kagere kwa Umri ule aanze kuendesha Bodaboda si kuwaua huku????
Miss Mbeya zawadi ya Ushindi Bodaboda
Mabingwa wa TPL zawadi ya Ushindi Bodaboda
Tujadili wanaMichezo hii sawa???
Naina Kafara inatolewa hapa sio bureee[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1104882
Katika kuwapa Motisha za Ubingwa wa Tanzania Premier league, Tajiri wa Simba Mohamedi MO amewaahidi wachezaji wote wa Simba waliochukua Ubingwa mwaka 2018-2019 kuwazawadia Bodaboda
Aisee....sasa Kagere kwa Umri ule aanze kuendesha Bodaboda si kuwaua huku????
Miss Mbeya zawadi ya Ushindi Bodaboda
Mabingwa wa TPL zawadi ya Ushindi Bodaboda
Tujadili wanaMichezo hii sawa???
Naina Kafara inatolewa hapa sio bureee[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1104882
Mtu mpaka forbes anajulikana, kanunua hisa 49% kwa 20 bUnataka TRA wamkabe?
Atawapaje M-5 wakati katumia mkwanja mrefu kuutetea ubingwa? Na ndiyo maana kawapongeza Yanga sc, maana bila mihamara ubingwa ulikuwa unarejea kwa wenyewe. Nimempenda sana huyu Moo si mnafiki.m5 itamkata maana hela nyingi zimetumika kutafuta ubingwa ambao zawad yake haifiki hata robo.
nyingi imetumika kununulia ubingwaInamaana aliyesikia milioni 5 alisikia vibaya?
Endeleeni kudharau 25k per day nyie ,tayar mmeshawaona wachezaji wetu akina messi wanahitaji ma lambo na ferra eh?Vitu vingine hadi nimeona aibu mimi kwa mtu mkubwa kama mo
"bodaboda kweli waongeze vipato vyao"
Boda Boda inaingiza 25k kwa mwezi...?Endeleeni kudharau 25k per day nyie ,tayar mmeshawaona wachezaji wetu akina messi wanahitaji ma lambo na ferra eh?