Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Labda milioni 5 ni kigabacholi kwa kiswahili ndio bodaboda.
Mie ni mpenzi wa simba s.c kama kweli aliwaahidi milioni 5 basi awapasie milioni 5 zao, kwenda nje ya ahadi inavunja morali, usikute kuna watu walikuwa wameshapangia mpaka bajeti milioni 5 zao.
Unataka TRA wamkabe?