Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Kwa jinsi watakavyochimbana kwa hii tafulani Yanga anaenda kuchukua ubingwa this time.

Mambo ya kumtegemea mtu mmoja alete pesa kwenye timu wakati timu ina watu milion 20+ ujinga huu bongo sijui utaisha lini.

Huu ujumbe maana yake wakina kagere na wachezaji kibao wa kigeni wanaolipwa pesa ndefu safari hiyo.

Kweli kutesa kwa zamu ndio mpira wa bongo.
Penye yanga kuchukua ubingwa hapo rekebisha

It's Scars
 
Anabaki kama investor
Kwa jinsi watakavyochimbana kwa hii tafulani Yanga anaenda kuchukua ubingwa this time.

Mambo ya kumtegemea mtu mmoja alete pesa kwenye timu wakati timu ina watu milion 20+ ujinga huu bongo sijui utaisha lini.

Huu ujumbe maana yake wakina kagere na wachezaji kibao wa kigeni wanaolipwa pesa ndefu safari hiyo.

Kweli kutesa kwa zamu ndio mpira wa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira bongo haulipi, alitegemea timu ikacheze Champions league ,matokeo yake inapambania kikombe cha million 100 , mech za kujaza had kariakoo derby. , mapato yanayoingia kwa mwaka hayazidi mil 500, wakati gharama za uendeshaji ni zaidi ya billion 5, kwanini asikimbie [emoji1787][emoji1787]
 
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.

Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.

Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
 
Hapana wachezaji hawajitumi kabisa. Kuna kushindwa lakini unaona jitihada ya wachezaji. Inasikitisha kikosi kulipwa mshahara unaoweza kulipa zaidi ya timu 5 zinazoshiriki ligi ya vodacom,lakini wachezaji wanacheza chini ya kiwango kabisa.

Ni bora ameamua kuwekeza kwa watoto.Hawa wachezaji waliokulia uswahilini hawajitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unaambiwa ni msomi tena alisoma kwenye shule/vyuo bora then

Tatizo la MO na Simba wote wanaamini wanatakiwa kushinda mechi zote sasa ikitokea kinyume maamuzi kama haya ni kitu cha kawaida
Mkuu gharama za uendeshaji ndio zinamkimbiza MO,

Huku nchi za dunia ya 3,hatuna financial fair play ,

Pale simba Mo alitega ,simba iwe inafika angalau robo kwenye CL , hapo anapata karibu billion 1.5 , bado kila mech anajaza uwanja kama za kariakoo derby. ,Hivo anakuwa na uhakika wa kupiga angalau billion had 3

Sasa Angalia kaishia hatua ya preminary kwenye CL , anabaki kugombania VPL ambapo bingwa anakula mil 80 .

Huku analipa mishahara na malupulupu kwa mwaka hadi billion 4

Hii ni hasara kubwa sana , hii ni biashara kichaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom