Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Bakuli lao linaanza lini hawa mbumbumbu?
FB_IMG_1578943857261.jpg
 
Gharama za uendeshaji ndio zinamkimbiza MO,hapo simba , yaan ndio kajitoa jumla hajanyoosha maelezo,

Huku nchi za dunia ya 3,hatuna financial fair play , ndio maana wenzetu wameiweka kumlinda hata muwekezaji

Pale simba Mo alitega ,simba iwe inafika angalau robo kwenye CL , hapo anapata karibu billion 1.5 , bado kila mech anajaza uwanja kama za kariakoo derby.hapo anakuwa na uhakika wa Million hadi 300 kwa mechi 1 za hatua za makundi ,Hivo anakuwa na uhakika wa kupiga angalau billion had 3 kwenye CL ,

Sasa Angalia kaishia hatua ya preminary kwenye CL , anabaki kugombania VPL ambapo bingwa anakula mil 80 .

Huku analipa mishahara na malupulupu kwa mwaka hadi billion 4

Hii ni hasara kubwa sana , hii ni biashara kichaa,lazima ukimbie tu
Ajitoe tu kwani sisi tunashida naye basi jaman yeye aende zake huko huyu mhindi koko

Muwekazij alikuwa ni Manji tu yeye alikuwaga haangalii hayo mambo sijui hasara sijui faida yeye hakuwaga na habari kama hizo

Alikuwa na uwezo wa kutoa milion mia kila mwanayanga aingie bure wala hakuwa na shida kabisa

Huyu mhindi koko asepe zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.


Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.


Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tabutupu; 4B aliyoisema Dewji sio US Dollars. Ni shilingi za Kitanzania ambazo kuna kampuni binafsi (tena SME) zinalipa kwa mwaka. Serikali inalipa zaidi 500B kwa mwezi kwa watumishi wake. Unadhani ni kwa nini miradi ya Mzee Meko inasuasua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom