Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adai inamtia hasara, aahidi kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu na academy
Sijakuelewa Tabutupu ! Taabu tupu ! Eti nini ?
Simba mmefungwa 1-0 na Mtibwa, unajua bhana !Kwani kuna nini kinaendelea?Nipo gizani ati!
Adai inamtia hasara, aahidi kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu na academy
Ajitoe tu kwani sisi tunashida naye basi jaman yeye aende zake huko huyu mhindi kokoGharama za uendeshaji ndio zinamkimbiza MO,hapo simba , yaan ndio kajitoa jumla hajanyoosha maelezo,
Huku nchi za dunia ya 3,hatuna financial fair play , ndio maana wenzetu wameiweka kumlinda hata muwekezaji
Pale simba Mo alitega ,simba iwe inafika angalau robo kwenye CL , hapo anapata karibu billion 1.5 , bado kila mech anajaza uwanja kama za kariakoo derby.hapo anakuwa na uhakika wa Million hadi 300 kwa mechi 1 za hatua za makundi ,Hivo anakuwa na uhakika wa kupiga angalau billion had 3 kwenye CL ,
Sasa Angalia kaishia hatua ya preminary kwenye CL , anabaki kugombania VPL ambapo bingwa anakula mil 80 .
Huku analipa mishahara na malupulupu kwa mwaka hadi billion 4
Hii ni hasara kubwa sana , hii ni biashara kichaa,lazima ukimbie tu
Nilipitiwa na usingizi kwenye kochi baada ya kuona kikosi kilichopangwa,ndio nashtuka saiv!Simba mmefungwa 1-0 na Mtibwa, unajua bhana !
😳...🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilipitiwa na usingizi kwenye kochi baada ya kuona kikosi kilichopangwa,ndio nashtuka saiv!
Kwani kuna nini kinaendelea?Nipo gizani ati!
😂😂😂😂Nilipitiwa na usingizi kwenye kochi baada ya kuona kikosi kilichopangwa,ndio nashtuka saiv!
HahahahaaaAisee, simba ndiyo inakufa hivyo, Yanga Mbele daima, kurudi nyuma mwiko, team ya wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anatafuta tu sababu
Aende zake atuachie team yetu
Na achukue na uwanja wake
Sisi tutabaki na manara wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app