Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Na Leo kama angekaa langoni mngetobolewa si chini ya tobo 3Simba waachane na wachezaji wa gharama waanze upya. Aishi Manura si mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Penye yanga kuchukua ubingwa hapo rekebishaKwa jinsi watakavyochimbana kwa hii tafulani Yanga anaenda kuchukua ubingwa this time.
Mambo ya kumtegemea mtu mmoja alete pesa kwenye timu wakati timu ina watu milion 20+ ujinga huu bongo sijui utaisha lini.
Huu ujumbe maana yake wakina kagere na wachezaji kibao wa kigeni wanaolipwa pesa ndefu safari hiyo.
Kweli kutesa kwa zamu ndio mpira wa bongo.
Kwa jinsi watakavyochimbana kwa hii tafulani Yanga anaenda kuchukua ubingwa this time.
Mambo ya kumtegemea mtu mmoja alete pesa kwenye timu wakati timu ina watu milion 20+ ujinga huu bongo sijui utaisha lini.
Huu ujumbe maana yake wakina kagere na wachezaji kibao wa kigeni wanaolipwa pesa ndefu safari hiyo.
Kweli kutesa kwa zamu ndio mpira wa bongo.
Mnyama kaliwa...
Learning the hard wayAussems alisema management imejaa vilaza kina manara, matokeo yake ndio haya.
Kikosi kipana kimepanuliwaMnyama kaliwa...
Mkuu gharama za uendeshaji ndio zinamkimbiza MO,Halafu unaambiwa ni msomi tena alisoma kwenye shule/vyuo bora then
Tatizo la MO na Simba wote wanaamini wanatakiwa kushinda mechi zote sasa ikitokea kinyume maamuzi kama haya ni kitu cha kawaida