msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Bilion nne tu imemkimbiza..je angeweka ile bilion 20 si angekufa kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida si kubwa kiasi hicho mkuu. Hizo story tu za watu ambao hawako kwenye hii biashara ya nguo.
unachemka ujue!Bora ajiuzuru akae salama na familia yake.
Matola ataichukua timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Manara sio kilaza bhana acha kumchafua 😂😂Aussems alisema management imejaa vilaza kina Manara, matokeo yake ndio haya.
..🙄🙄🙄
Wanampiga sana huyu bwana.Simba ni kikundi cha wahuni tuu.
Ametafuta mlango wa kutokea tu...alikuwa na lake jambo au anataka abembelezwe.yaan kombe la mapinduzi ambalo halipo kweny kalenda hata ya TFF ndio limemfanya ajiuzulu?
Ina maana angeshinda ubingwa Billion 4 zingerudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanasema Uchebe arudi lakini nafikiri hata yeye hakuwa na timu yenye kasi ya kuwasumbua mabeki.Yaani kutungwa mechi ya kirafiki ndio ajiuzuru? Aidha hiyo habari si ya kweli au kunatatizo kubwa zaidi hivyo alikua anatafuta sababu! Kimsingi Simba ya uchebe mpaka ya Sasa ina matatizo mawili kiufundi, mosi wachezaji hawako aggressive uwanjani, pili, timu inacheza taratibu Sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na-assume Simba ina wachezaji 30. Kama analipa close to 4 billion kwa mwaka, anachotaka kutuambia Dewji kwa wamstani kila mchezaji wa Simba analipwa Sh. 10,000,000/-!!
Yaani nawahurumia sana mashabiki wa Simba manake tangia Aden Rage awaite hawa jamaa ni mbumbumbu basi kila mmoja ameamua kuwafanya mambumbumbu plus!! Yaani Dewj ndo umeamua kuwaambia mambumbumbu kwamba kwa wastani kila mchezaji unamlipa zaidi ya MILIONI KUMI kwa mwezi?! Yaani Hisa ununue kwa Sh, 20 Billion lakini 20% ya investment unaitumia kwenye mishahara tu?!
Halafu ngoja! Kwani wewe si una hisa tu pale Simba?! Sasa how come tena unajimwambafai kwamba unalipa 4 Billion kwa mwezi?! Ina maana hizo 4 billion unazitoa kwenye mfuko wako binafsi, au?! Ni kwa sababu umeshajua kwamba Mambumbumbu FC imejaa MAMBUMBUMBU na kwahiyo chochote unachosema watakiamini au hao MAMBUMBUMBU aliokuwa amewataja Rage na wewe ni mmoja wao, na kwahiyo unashindwa kutofautisha kati ya Payroll ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited aka METL pamoja na payroll ya Simba?!
Wadau, hivi kuna mtu anamfahamu mtoto wa kike wa Aden Rage ambae hajaolewa ili nikamtangazie nia?! Haki ya Mungu nawaambia, ukipata mke mwenye baba mwenye akili kama Aden Rage, lazima utakuwa umepata mke mwenye akili vile vile, na hivyo kuziambukiza akili kwa wanao.
Ya hovyo kivipi? Kama Mwenyekiti kuna wakati huwa anaweka mzigo kwenye timu ulio nje ya mkataba wa uwekezaji, sasa unataka aendelee kupoteza pesa zake? Wewe ungekuwa tayari kupoteza pesa namna ile?Maamuzi ya hovyo , kutoka kwa Kiongozi wa hovyo.