Tatizo ana deal na non business people
Ngoja nikwambie.
Yanga walimlilia GSM eti hawana pesa ya kusajilia.
Akawaambia wanahitaji wachezaji wangapi na kina nani?
Wakamtajia wachezaji na gharama ya hao wachezaji haizidi mil 400.
Akawaambia nitawafanikishia hilo kwa sharti koja, jezi zenu nitawatengenezea na nitaziuza mwenyewe.
Yanga wakasema kwa hilo hatuna shida
GSM akiuza jezi za yanga kwa mwaka ni zaidi ya Bil 15 faida.
Bado jezi hizo zimebeba matangazo
Nadhani sasa unaelewa , kwa nini hawa matajiri wanazitaka sana hizo timu za kariakoo.
MO hatansimba ivurunde vipi hatoki pale, ataleta hizi kelele za kujigamba kapata hasara kakini hakuna hasara yoyote basi tuu anatakaa kucheza na akili za wakulima wa simba.
Sent using
Jamii Forums mobile app