Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hivi Kuna athari gani asipokuwa mwenyekiti wa Bodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kituHivi Kuna athari gani asipokuwa mwenyekiti wa Bodi?
Usikute kuna mengi kayavumillia na kaona ushauri aliopewa na uchebe ni kweli kabisaHeheh kama ni kweli basi Mo ni mbabaishaji naye...
Yaani ukose kombe la mapinduzi ndio utoke povu hadi kukimbia uongozi...
Bora ajiuzuru akae salama na familia yake.Mo Dewji AJIUZULU Simba Sports Club
Dar es salaam, Tajiri maarufu nchini Bw. Mohammed Dewji maarufu kama Mo ameamua kujiuzulu Simba Sports club baada ya team hiyo kupokea kichapi cha goli 1-0 dhidi ya Mtibwa katika mechi ya Fainali ya kombe Mapinduzi.
Licha ya kushindwa kushinda katika mechi ya Fainali ya Kombe la mapinduzi, Club hiyo imekuwa ikicheza chini ya kiwango katika mechi kadhaa zilizopita ikiwemo mechi iliyochezwa Jan 4 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Sc, mchezo huo uliisha kwa sare ya goli 2-2.
na mishahara yao kwa wastani ni bei gani? kwa mfano robots nyingi zinalipwa chini ya laki tanoSerikali ya muungano ina watumishi wangapi??