Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
MO Dewji kajiuzulu uenyekiti wa Bodi ya Simba na kubaki kuwa mwekezaji tu.

Katika kujiuzulu kwake anasema amechoka, anashangaa analipa mishahara kwa mwaka Bilioni 4 lakini matokeo ya hovyo.

Nadhani hadithi hii ina utata. Je, ni kweli kuwa MO analipa mishahara bilioni 4 kwa mwaka? Maana hiyo ni wastani wa shilingi milioni 333.33 kwa mwezi. Na kama wachezaji anaowalipa ni 25 pamoja na kuwa wanapitana mishahara lakini ni wastani wa shilingi milioni 13 laki 3 kila mmoja na kwamba Simba (Dewji) anapeleka 10% ya michango ya mifuko ya jamii mfano NSSF shs milioni 400 kwa mwaka?

Kama hiki asemacho siyo kweli ana malengo gani kutoa habari za uongo tena wakati anaachia ngazi?

Hawa Wahindi (sisemi kwa ubaguzi wa rangi) ni watu wa kuwaangalia sana kwani mara nyingi ni walaghai kwa sababu wazijuazo wenyewe.
 
Mbumbumbu waanze mapema kuufanyiakazi huu ushauri
Bamia.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MO unaona sasa kwanini waswahili walisema shukrani ya punda ni mateke ?
 
Shida mnaangalia kama Wanaolipwa ni Wachezaji 27 tuu. Kumbukeni kuna benchi la ufundi, kuna Uongozi wa CEO aliyeahiriwa na watu wake wa day to day functions, kuna Timu ya Wanawake, Timu ya Vijana , gharama za kambi na nauli na malipo mbali mbali. Wachezaji na Wafanyakazi wa Kigeni wanalipiwa vibali vya kazi nje ya mishahara. Kukweli running expenses za timu ni kubwa sana.

Sioni exaggeration yoyote hapo.
 
Mikia kumekucha,na complex atawanyang'anya.Stay tuned
 
Mo Dewji AJIUZULU Simba Sports Club

Dar es salaam, Tajiri maarufu nchini Bw. Mohammed Dewji maarufu kama Mo ameamua kujiuzulu Simba Sports club baada ya team hiyo kupokea kichapi cha goli 1-0 dhidi ya Mtibwa katika mechi ya Fainali ya kombe Mapinduzi.

Licha ya kushindwa kushinda katika mechi ya Fainali ya Kombe la mapinduzi, Club hiyo imekuwa ikicheza chini ya kiwango katika mechi kadhaa zilizopita ikiwemo mechi iliyochezwa Jan 4 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Sc, mchezo huo uliisha kwa sare ya goli 2-2.

Bora ajiuzuru akae salama na familia yake.
Matola ataichukua timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Lizzy ndio unaamka wenzako tupo kwenye muda huu tumuidhinishe mzee kilomoni kuwa mwenyekiti wa bodi.
 
Usijali mzee, watajua wenyewe huko mana we hujachangia chochote kwenye hizo 4b.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom