Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Wajameni; mimi naweza kumuamini maana 4b sio lazima iwe ni net pay. Kwake yeye actual payroll cost ni sum ya yafuatayo:
1. Gross Pay
2. NSSF (au any pension fund contribution ambayo ni 10% ya gross pay na ni takwa la kisheria)
3. SDL (4.5% ya gross pay Skills Development Levy ambayo nayo ni takwa la kisheria)
4. Any other related staff costs.

Inaweza kuwa kweli ikawa overstated lakini haiwezi kuwa very much off the mark).
Kuna bonus pia
 
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.

Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.

Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.

Acha kupauka. Toa uchambuzi wa kimahesabu kujenga hoja badala ya kulinganisha kipuuzi na serikali ya Zanzibar.
 
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.

Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.

Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
Anajua anawamiliki ma mbumbumbu.
Yupo salama.kila atakachosema wanaitikia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapa sio issue ya kiasi gani wanalipa hiyo sio muhimu kinachokera kuleta hali ya utata tu kwa sababu Simba kafungwa? mpira hauna formula kusema ukiwa unalipa sana basi kufungwa mwiko maana huko ulaya basi ingekuwa kila siku watu wanaachia team maana yako ma team makubwa yanalipa mishahara mikubwa yanafungwa kila leo lakini watu wanakabiliana na changamoto. Mimi na mashaka na huyu nia yake hasa ni nini katika Simba? ikiwa leo tu kaanza kuleta shida kisa kufungwa kwani Mtibwa sio team? wachezaji mmenunua wenyewe na kocha nyinyi wenyewe sasa anataka kumlaumu nani? Mo kwa hili umefail lina nia mbaya ya kuleta taharuki katika club hukuwa na sababu kuja public ungekaa na wenzako kuona shida iko wapi itafutiwe solution kama shida ni wewe ungejiuzulu mbele ya board kwa ajili ya team lakini bado shida haijajulikana wewe umesharuka kamba huo sio uongozi. swali je kujitoa kwako kama mwenyekiti ndio kutaleta tija katika team? au unafungua academy ndani ya simba kwa malengo ya kibiashara zaidi kwa kusema nitakuwa na focus na youth na miundombinu kwa maana huyo mwenyekiti mpya akija umembadilishia scope ya kazi yake? au mwenyekiti mpya ndio atakuja kuamua vipaumbele nini kwa hapa ni kama unataka kuindesha simba kama kampuni zako tu. jitafakari sana hii team ni kubwa kuliko mtu mmoja.
 
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.

Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.

Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.

Kama hujui,Serikali kwa mwezi inalipa mishahara isiopungua 500 billion.

Mo ametoa fedha za usajili,ambapo wachezaji toka nje fanya 7 ambao si chini ya dola 50,000$ utapata dola 350,000 ziweke kwenye tshs.

Ila kupunguza muda rejea bajeti yao ya usajili,2BL.

Njoo mishahara,ambapo kuna dola 5000 kwa mapro na mamillioni kadhaa kwa wazawa,team ina wachezaji 30.

Bado amesajili benchi la ufundi,ambalo halipungui watu 7 ie makocha ambao ni wawili wa team,kocha wa viungo,makocha wa makipa huku kukiwa na makocha wazungu wawili, wa viungo na team.

Bado gharama za kambi,ikumbukwe Simba hawana hostels zao bado,wanatumia hotel na kuwapangia nyumba wachezaji.

Gharama hizo kwa mwaka zitathimini,nje ya gharama za kujenga vile viwanja bunju!!

Ikumbukwe walisajili sana usajili uliopita wakiwa na lengo la kushindana kimataifa ili wafike mbali,wakatolewa first round!!

Kuendesha team kubwa sio sawa na familia!!

Bado vibali vya kazi kwa wasio wazawa na kibali kimoja hakipungui dola 2000+
 
Tatizo ana deal na non business people

Ngoja nikwambie.

Yanga walimlilia GSM eti hawana pesa ya kusajilia.

Akawaambia wanahitaji wachezaji wangapi na kina nani?

Wakamtajia wachezaji na gharama ya hao wachezaji haizidi mil 400.

Akawaambia nitawafanikishia hilo kwa sharti koja, jezi zenu nitawatengenezea na nitaziuza mwenyewe.

Yanga wakasema kwa hilo hatuna shida

GSM akiuza jezi za yanga kwa mwaka ni zaidi ya Bil 15 faida.

Bado jezi hizo zimebeba matangazo

Nadhani sasa unaelewa , kwa nini hawa matajiri wanazitaka sana hizo timu za kariakoo.

MO hatansimba ivurunde vipi hatoki pale, ataleta hizi kelele za kujigamba kapata hasara kakini hakuna hasara yoyote basi tuu anatakaa kucheza na akili za wakulima wa simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anatafuta tu sababu

Aende zake atuachie team yetu

Na achukue na uwanja wake

Sisi tutabaki na manara wetu

Mh! Unaelewa vzr ulichokiandika?
 
Simba wamebweteka tu, wao wanawacheka Yanga utadhani pesa wanazolipwa wao wachezaji zinatoka ndani ya klabu yao. Athari zake ndio kupigwa mikwara kama hii, lakini kuna siku atakuja kukimbia kiukwelikweli. Klabu za bongo zitengeneze mifuko endelevu ya mapato, zisitegemee wafadhili.
 
Faida si kubwa kiasi hicho mkuu. Hizo story tu za watu ambao hawako kwenye hii biashara ya nguo.

Tatizo ana deal na non business people

Ngoja nikwambie.

Yanga walimlilia GSM eti hawana pesa ya kusajilia.

Akawaambia wanahitaji wachezaji wangapi na kina nani?

Wakamtajia wachezaji na gharama ya hao wachezaji haizidi mil 400.

Akawaambia nitawafanikishia hilo kwa sharti koja, jezi zenu nitawatengenezea na nitaziuza mwenyewe.

Yanga wakasema kwa hilo hatuna shida

GSM akiuza jezi za yanga kwa mwaka ni zaidi ya Bil 15 faida.

Bado jezi hizo zimebeba matangazo

Nadhani sasa unaelewa , kwa nini hawa matajiri wanazitaka sana hizo timu za kariakoo.

MO hatansimba ivurunde vipi hatoki pale, ataleta hizi kelele za kujigamba kapata hasara kakini hakuna hasara yoyote basi tuu anatakaa kucheza na akili za wakulima wa simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umefanya haraka kumlaumu Mo,kutaja hicho kiwango ni sawa ni haki yake yeye ndio analipa,hata wewe nyumbani kwako matumizi yakiwa sio sahihi utajikuta umesema nimeacha laki mmetumia siku 3 tu.Nadhani umepata picha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mo alikuwa anajuwa yote hayo hakukuwa na haja ya kusema tena na tena kwenye mkutano walishasema matumizi. kwa mfano wako wa nyumbani kwa hiyo utarekebisha tu au ndio utakimbia mke na nyumba kwa kuwa tu matumizi makubwa?
 
Vichwa vya habari vya magazeti ya leo
1.Bila hirizi Simba haitambi
2.Mbeleko yagoma Leo
3.Simba wapo porini hawa waliopo Mjini ni mapaka ya bar
4.Pingili ya muwa yazama mkiani kwa simba
5.Rununu zinasumbua Hata ukiandika neno Simba inakuja Simbilis
6."Bora refa angekuwa mmama tena " asema Manara
7.Simba Kama housegirl yaani kimoja tu MIMBA
8.Simba ni zaidi ya maharage ya Mbeya hata ukilibana kwenye kwapa linaiva
9."Bora pesa yangu Hata ningewekeza kwenye Upatu" bilionea asema hayo
10.Bosi wa simba abwaga manyanga ni baada ya Timu yake kulewa muwa.
11. Mapinduzi aendelea kuipindua simba kama balama.
 
Beira Boy, Real Madrid timu ya wananchi inaendeshwa na wanachama. Perez pale amechaguliwa na mkutano mkuu kuwa Rais.

Simba na Yanga wanakwama wapi. Mbona wananchi kwa pamoja wanayo pesa nyingi kuliko za Mo na Gsm. Kila mwanachama na shabiki wa hizi timu kila mwezi akachangia timu yake 3,000 ni zaidi ya bilioni 20 kwa mwezi.

Michango hii kwa mwaka hizi club zinauwezo wa kujenga viwanja, kulipa mishahara, kununua ndege binafsi ya club.

Mimi siwalaumu Mo wala Gsm nawalaumu wanachama na mashabiki wa hizi club simba na Yanga pamoja na viongozi wao wameshindwa kuziendesha hizi club.

Sent using Cash Money Wings
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom