Uchebe na Sven wote ni wabelgiji, falsafa yao ni mpira wa pasi nyingi na taratibu.walikurupuka sasa inaanza kula kwao, huyu mzungu mtoto kaja kuvuruga mfumo wote!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kocha mzuri ni wa uingereza, mpira wa kasi na nguvu nyingi, tackles everywhere.
Sent using Jamii Forums mobile app