Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.

Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
20210806_200207.jpg
20210806_200205.jpg
20210806_200202.jpg
20210806_200055.jpg

=====

Updates baada ya yaliyotokea, Chama ameamua kuacha kumfollow Mo Dewji katika mtandao wa Instagram
20210806_222836.jpg
 
No ni aina dukani ya watu wanaopenda umaarufu sana,bahati mbaya umaarufu haujawahi kumtaka.Hana kabisa personality kama walionayo matajiri wengine hapa Tz na huko duniani,nafikiri ni kwasababu hajahangaika kuzitafuta ndomaana hafanani kitabia na self-made billionaires.

Sasa kulikuwa na haja gani ya boss wa club kwenda kucomment shombo kama zile kwenye live ya CHAMA? Aiseeeh😂
 
Ajiandae Barbara anaweza kumshughulikia, ataanza kulala kwenye makochi wakienda nje ya nchi🤣
 
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.

Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143
Hillarious....
 
Ajiandae Barbara anaweza kumshughulikia, ataanza kulala kwenye makochi wakienda nje ya nchi🤣
Ninachojua mimi mafanikio ya mpira mimi mpira sio pesa tu, saikolojia na mapenzi ya wachezaji pamoja na watu wanaozijua weakness ya team zetu hizi (fitina) ni msingi mkubwa sana wa mpira wa kiafrika.

Sasa boss unaelipa mishara wachezaji,mtu anaetakiwa kuheshimiwa anawezaje kuingilia hivyo uhuru wa wachezaji katika maisha yao ya nje ya kazi? Tena kwenye insta live kabisa sehemu ambayo kila mtu anaweza kuona na anauliza maswala ya kijinga kabisa eti who paid for you transfer, unategemea wachezaji watajenga mentality gani?

Tabia za kiswahili ni kutaka kila mtu akosane na aliokosana nao yeye.
 
Mo ni tapeli. Halafu ni muhindi. Kwa sisi tuliofanya kazi kwa wahindi tunaona jambo la kawaida na ndio tabia yao wahindi,wanataka kunyenyekewa na wanadharau watu. Mimi sishangai wala sijashutuka. Na mo anaweza kuanza tabia ya kuunfollowiana na watu wote wanaomsifia Manara.
Na Babula lazima aanze kumfanyia fitna chama.
 
Ninachojua mimi mafanikio ya mpira mimi mpira sio pesa tu, saikolojia na mapenzi ya wachezaji pamoja na watu wanaozijua weakness ya team zetu hizi (fitina) ni msingi mkubwa sana wa mpira wa kiafrika.

Sasa boss unaelipa mishara wachezaji,mtu anaetakiwa kuheshimiwa anawezaje kuingilia hivyo uhuru wa wachezaji katika maisha yao ya nje ya kazi? Tena kwenye insta live kabisa sehemu ambayo kila mtu anaweza kuona na anauliza maswala ya kijinga kabisa eti who paid for you transfer, unategemea wachezaji watajenga mentality gani?

Tabia za kiswahili ni kutaka kila mtu akosane na aliokosana nao yeye.
Dishonest....

Blackmailing....
 
kama ni kweli mo ni mjinga kwa mtindo huu atampa umaarufu zaid Haji bifu lake na haji lisiusishe wachezaji
Akija kujifitinisha na wachezaji kisha kusababisha migomo ya wachezaji (hasa professional players wa nje), ndo atajua kuwa mpira hauhitaji pesa tu.

Hivi kuna ulazima gani wa kupeleka bifu lake kwa wachezaji au yeye anadhani kwa pesa zake basi kila mtu atakuwa upande wake?

Yeye kama boss anatakiwa akae pembeni kabisa kama vile hakuna kitu kina endelea mashabiki waongee, ujinga wake wa kuwa provoked utakuja kumpa ushindi mkubwa yule haji.
 
Mo ndio maana alivishwa khanga. Huyu jamaa ni mpuuzi sana, mimi sifuatilii mambo ya mpira so hii issue yao sikuwa naichangia sana lakini kwa comment hii aliyoitoa ni bora Haji ana akili kuliko Mo
Sasa hapo mbona kama anaingilia uhuru wa wachezaji na anataka kujifanya yeye ndio kila kitu hadi kwenye maisha ya watu
 
Back
Top Bottom