Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Mo ndio maana alivishwa khanga. Huyu jamaa ni mpuuzi sana, mimi sifuatilii mambo ya mpira so hii issue yao sikuwa naichangia sana lakini kwa comment hii aliyoitoa ni bora Haji ana akili kuliko Mo
Sasa hapo mbona kama anaingilia uhuru wa wachezaji na anataka kujifanya yeye ndio kila kitu hadi kwenye maisha ya watu
Tena walivyomvua wakampaka kilainishi
 
Mdosi huyu ana GUNDU!
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.

Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143
 
No ni aina dukani ya watu wanaopenda umaarufu sana,bahati mbaya umaarufu haujawahi kumtaka.Hana kabisa personality kama walionayo matajiri wengine hapa Tz na huko duniani,nafikiri ni kwasababu hajahangaika kuzitafuta ndomaana hafanani kitabia na self-made billionaires.


Sasa kulikuwa na haja gani ya boss wa club kwenda kucomment shombo kama zile kwenye live ya CHAMA? Aiseeeh[emoji23]
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Laporta said the club could not agree to this deal because of the impact it could have on Barca for the next 50 years.

Barca had to agree to an operation that would affect the club for the next 50 years in terms of TV rights. I cannot make a decision that will affect the club for the next 50 years," he said.

"The club is over 100 years old and above everyone - coaches, players, presidents - including the best player in the world."

Mo ni mshensi hovyo kabisa huu ni udhalilishaji kwa wachezaji wote na wanasimba wote tusiokuwa na tabia za uchawa. Anataka aogopwe maxafanta
 
Anachopitia MO kila mtu anaweza pitia.....
Ufanye jambo, uwabebe watu mgongoni afu kitokee kiumbe kibeze uliyoyafanya, utukanwe mitandaoni. Alafu ukija kuangalia mpaka wale unaowalipa mshahara nao wapo upande wa anayekubeza kwa namna moja au nyingine......inauma sana.
Walio karibu na MO wamshauri akae pembeni na mitandao ya kijamii kwasasa, atakayoyaona yatamchoma sana.
Sana na inatia hasira na inaleta panic balaa
 
Ajiandae Barbara anaweza kumshughulikia, ataanza kulala kwenye makochi wakienda nje ya nchi[emoji1787]
Haji alikua analazwa kwenye makochi huyu atalazwa nje kabisa mvua ikiwa inanyesha
[emoji23][emoji23][emoji23]chama naye kakosa busara mtu sio msemaji na hajaondoka vizuri why aandike shombo
 
Anatumia nguvu sana kuonyesha kuwa amejitolea mno ili Simba SC ifike hapa ilipofika. Kitu ambacho ni ukweli usiofichika, MO amepambana sana Simba ifike hapa ilipofika na anajua organization/enterpreneurship.

Lakini MO anachokosea ni kwamba mpaka Simba ifike hapa ilipofika kuna watu wengi sana wamehusika. Hii hadi mashabiki wa Simba, na mpaka baadhi ya wachezaji wa Simba wameaminishwa kuwa si kweli.

Timu inaanza kuwa ya kidikteta kwa kujitakia yenyewe kisa ni imani kuwa MO ndiyo kila kitu mwacheni. Si kweli kwani Simba itegemee ushindani mkubwa sana 2021/22 na hapo ndipo watamuona kama ni mwekezaji kama walivyo wawekezaji wengi duniani.

Inasemekana baada ya hapo wachezaji wakaanza kumpaisha ili asiwe na hasira (waliambiwa) which is so weird. Na kuna wanabodi kadhaa huwa hawamfagilii Chama wakidhani yupo close na Yanga kama alivyo manara.
 
Back
Top Bottom