Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Yaani Mohamed ameingia kwenye mtego wa kipumbavu kabisa.kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Hakuna kitu kama icho iyo ni editing tu,ni watu wamejipanga kuichafua Simba kwenye mitandao ya kijamii!! Hizi kampeni hazijaanza leo,toka msimu huu wa ligi ulioisha kampuni moja iliyobadili jina ili kukwepa kodi,ambayo ina uhusiano na timu moja ya ligi kuu,ambayo iliwahi kuwa na kocha mzungu ambae aliwafananisha viongozi wa timu iyo na mashabiki wao kuwa wanatabia kama za nyani na muda wote wanabweka kama umbwa.
Mwenye iyo kampuni alianzisha kampeni kwenye radio zote za FM kwa kugawa pesa kwa waandishi ili waiongelee vibaya Simba kila siku na kuiandika vibaya kwenye vi-blog vyao uchwala,lakini mbinu zote tulizigundua na kuzipuuza.
Pia amekuwa akiwatumia baadhi ya watu wa Simba akiwemo manara kwa kuwapa pesa ili kuivuruga Simba,mbinu zote zinajulikana lakini Simba tupo imara tumejipanga vizuri kuchukua ubingwa kwa mara ya tano mfululizo.
Umeongea pointi tupu!
🤣🤣🤣
 
Hii umeandika kama utani ila utashangaa kitakachomtokea Chama,

Mo na barbra ni waswaahili kuliko manara.
CEO hana utani kwenye haya masuala, Haji na mikwara yake yote alijirekodi huku analia kama moto mdogo !
 
Na hawa ni aina ya washabiki wasiojielewa. What a coincidence!
Wewe kenge acha ujinga,muda wote ni kuandika habari hasi za Simba!! Acha uchoko,watu wanaopandwa na kupumuliwa kwa nyuma ndio wanatabia kama zako,kuandika habari za kuponda wanaume hapa JF .
 
Wewe kenge acha ujinga,muda wote ni kuandika habari hasi za Simba!! Acha uchoko,watu wanaopandwa na kupumuliwa kwa nyuma ndio wanatabia kama zako,kuandika habari za kuponda wanaume hapa JF .
Mbuzi kang'ata reli huko! Teh teh
 
Sio chama tu hata akina Boko wanazingua sana kuanza kumsifu manara wakati washabiki wote wako against. Anyway usajili huu mo aweke engine mpya za kazi sio hawa waliozoea watu
 
Kwani MWAMEDI ana umri wa miaka mingapi?
30+ na ni mkazi wa palee mitunduruni Singida alipozaliwa.
Mnyaturu piwa labda miwani tu ikatae.
Namfua uwanja kajenga,kuna timu Born city kasimamia sana akiwa mbunge Singida kabla haijaitwa Singida United.
Tusimchukulie poa kusema ukweli huyo bwege Chama anacheza na kikombe cha chai moto.
Swali simple tu Manara anakulipa mshahara?ngoja tuone hapa ndo narudi na bisi zangu
 
Mo angepoteza tu siyo kujihusisha na hayo Mambo madogo ,angemjibu manara siyo ku-attack wachezaji ,huyu boss angetulia tu ofisini hayo mambo wamalize mashabiki kama sisi
 
Manara hatumtaki ila Mo naye Mambo madogo hivi anazingua ,Anaweza kusajili mchezaji yoyote ila kama hawana maelewano yatakuja Mambo Kama ya Pogba
 
Mo ni taka taka, walokua wakimtetea nadhani kawaonesha rangi yake
 
Mi binafsi sijasikia chama alichosema ila kama kweli aliamua kumsifia Manara hadharani inaonesha ni jinsi gani moyo wake haupo sawa na uongozi.
Hii ni dalili mbaya sana na ninaanza kuhisi huenda ni mmoja wa wachezaji aliyetumika na Manara kuihujumu Simba.

Mambo haya yanaanza kidogo kidogo lakini master planner wa hii inaonekana amejipanga kuibomoa Simba kweli.
Bahati mbaya naona haitakuwa kazi ngumu kutokana na Mo mwenyewe kukosa hekma na uvumilivu.

Hapa naona Bakhresa ama GSM wanaanza kufanikiwa michezo yao.Mo ataondoka sio muda mrefu.
Tunaanza na kupoteza ngao ya hisani.Yajayo yanatia shaka mno.Chama hawezi kuwa sawa tena baada ya ujinga aliofanya leo.Naanza kuona mgomo baridi kwa wachezaji wanaomuunga mkono Chama ambaye anataka kujipambanua kama timu Haji.
Simba inavunjika kwa ubinafsi mkubwa na tamaa za Manara,kukosa hekma kwa mwekezaji wa Simba,na fitna zilizoenda shule zinazoandaliwa na washindani wa Mohammed enterprises. Kumbe pesa sio kila kitu
1.Salim Abdallah (Try Again)
2. Hans Pope

3 Magori

Kwahiyo timu ndani ya bodi hakuna kitakachoharibika.

Manara alone hawezi kuiangusha Simba never.
 
Haji hakulazwa kwenye makochi, ila alizamia safari ambayo hakuwamo kwenye list ya ticket na hotel
Sasa msemaji wa club kwanini halipiwi ndege na hotel hadi inabidi alale kwenye makochi ya reception?
 
Anachopitia MO kila mtu anaweza pitia.....
Ufanye jambo, uwabebe watu mgongoni afu kitokee kiumbe kibeze uliyoyafanya, utukanwe mitandaoni. Alafu ukija kuangalia mpaka wale unaowalipa mshahara nao wapo upande wa anayekubeza kwa namna moja au nyingine......inauma sana.
Walio karibu na MO wamshauri akae pembeni na mitandao ya kijamii kwasasa, atakayoyaona yatamchoma sana.
We naye sijui unawaza nini kwani hiyo mishahara anawapa bure au?
 
Anachopitia MO kila mtu anaweza pitia.....
Ufanye jambo, uwabebe watu mgongoni afu kitokee kiumbe kibeze uliyoyafanya, utukanwe mitandaoni. Alafu ukija kuangalia mpaka wale unaowalipa mshahara nao wapo upande wa anayekubeza kwa namna moja au nyingine......inauma sana.
Walio karibu na MO wamshauri akae pembeni na mitandao ya kijamii kwasasa, atakayoyaona yatamchoma sana.
Kanuni mojawapo ya kudeal na mambo kama haya ni kutoyafatilia. Wanaompa sapoti na kuthamini mchango wake wako wengi kuliko wanaombeza sema yeye anataka kufatilia wanaombeza. Inaonekana emotional quotient yake iko chini kwenye eneo hili, akae mbali na mitandao itamsaidia kwa sasa la sivyo ataharibu.
 
1.Salim Abdallah (Try Again)
2. Hans Pope

3 Magori

Kwahiyo timu ndani ya bodi hakuna kitakachoharibika.

Manara alone hawezi kuiangusha Simba never.
Hao wote uliowataja ni magori tu Ndio wa maana zingine hizo ni takataka, hasa Hand pop
 
Back
Top Bottom