Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.
Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143
=====
Updates baada ya yaliyotokea, Chama ameamua kuacha kumfollow Mo Dewji katika mtandao wa Instagram
View attachment 1883315