Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.

Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143

=====

Updates baada ya yaliyotokea, Chama ameamua kuacha kumfollow Mo Dewji katika mtandao wa InstagramView attachment 1883315
huyu mhindi vip huyu mbona ana mambo ya kiswahili sana
 
kutumia neno "takataka" wakati unazungumzia mtu mwingine inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na naksi ya utu na akili finyu.
Takataka maana yake ni useless, mini nakwambia sasa na narudia tena hapo Magori Ndio mtu tu , Hans pope na Try Again ni takataka. Hawawezi kuiongoza Taasisi kama simba kea ufasaha,
 
Bosi sasa anawaangusha watu wanaomuunga mkono...kwa kipindi hichi aachane na social media kabisa,haziwezi presha za huku bora aishie kusoma email tu...aachane na mambo ya IG
 
Takataka maana yake ni useless, mini nakwambia sasa na narudia tena hapo Magori Ndio mtu tu , Hans pope na Try Again ni takataka. Hawawezi kuiongoza Taasisi kama simba kea ufasaha,
Kabla ya Magori waliiongoza Simba for two years msimu wa 2017/2018 Mwenyekiti alikuwa Salim Abdallah.

Hans Pope amekuwa mwenyekiti wa kamati ya usajili kwa zaidi ya miaka 10
Hebu sema huo utakataka wao uko wapi ?
 
Mo bhna, yaani ameprove kabisa kuwa madai ya manara kuwa alimwambia "manara unakuwa maarufu kuliko mimi" ni kweli.
Huyu boss wanasimba tumepigwa. Anaamini hela ni kila kitu, lakini ukweli ni kwamba kipindi simba ikianza kufanya vibaya ndo atajua hajui.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.

Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143

=====

Updates baada ya yaliyotokea, Chama ameamua kuacha kumfollow Mo Dewji katika mtandao wa InstagramView attachment 1883315
Kishamfollow tena bwana. Tajiri hanuniwi ukizingatia bado ana mkataba Simba 😂
 
Takataka maana yake ni useless, mini nakwambia sasa na narudia tena hapo Magori Ndio mtu tu , Hans pope na Try Again ni takataka. Hawawezi kuiongoza Taasisi kama simba kea ufasaha,
Ni watu wenye mapungufu ya akili tu ndiyo hutumia lugha za kutweza wengine.
 
Mo ndio maana alivishwa khanga. Huyu jamaa ni mpuuzi sana, mimi sifuatilii mambo ya mpira so hii issue yao sikuwa naichangia sana lakini kwa comment hii aliyoitoa ni bora Haji ana akili kuliko Mo
Sasa hapo mbona kama anaingilia uhuru wa wachezaji na anataka kujifanya yeye ndio kila kitu hadi kwenye maisha ya watu
Lol 😂😂😂
 
Sio chama tu hata akina Boko wanazingua sana kuanza kumsifu manara wakati washabiki wote wako against. Anyway usajili huu mo aweke engine mpya za kazi sio hawa waliozoea watu
Chief huwezi ku underestimate nafasi na kazi aliyofanya manara simba. Na sio kweli kwamba kila shabiki wa simba yuko kinyume na manara. Pamoja madhaifu yake ana mchango mkubwa kuifikisha team ilipo, huwezi kuwazuia watu kuona hilo. He is gone now, cha msingi ni kufocus kujenga team na kuendekeza haya yanayoendelea.
 
Kabla ya Magori waliiongoza Simba for two years msimu wa 2017/2018 Mwenyekiti alikuwa Salim Abdallah.

Hans Pope amekuwa mwenyekiti wa kamati ya usajili kwa zaidi ya miaka 10
Hebu sema huo utakataka wao uko wapi ?
Najua,simba kipindi hicho ilikuwa timu ndogo. Kwa sasa simba ni timu kubwa Sana. Hao hawawezi, hao jamaa wote Wana ushamba au niite uswahili katika uongozi Ndio maana nikakwambia kuwa angalia mfano wa Hans pope kwenye kesi ya Morison au Michezo wa mtaani mliofungwa moja bila. Anabehave kwa hisia badala ya uhalisia.

Magori kuna siku alipiga simu(sio walipigiwa) pale Sports Arena wasafi fm akasema kuwa kesi ya Morison vs Yanga CAS haipo, viongozi wa Yanga wanawadanganya mashabiki. Lakini sass hivi tunaona kesi ipo ,

Simba itafute watu hata kama ni nje ya nchi waongoze Taasisi kama sisi wazawa tunashindwa.
 
Basi kaongoze wewe ambaye hauko kwenye dustbin
 
Back
Top Bottom