Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Anatumia nguvu sana kuonyesha kuwa amejitolea mno ili Simba SC ifike hapa ilipofika. Kitu ambacho ni ukweli usiofichika, MO amepambana sana Simba ifike hapa ilipofika na anajua organization/enterpreneurship.

Lakini MO anachokosea ni kwamba mpaka Simba ifike hapa ilipofika kuna watu wengi sana wamehusika. Hii hadi mashabiki wa Simba, na mpaka baadhi ya wachezaji wa Simba wameaminishwa kuwa si kweli.

Timu inaanza kuwa ya kidikteta kwa kujitakia yenyewe kisa ni imani kuwa MO ndiyo kila kitu mwacheni. Si kweli kwani Simba itegemee ushindani mkubwa sana 2021/22 na hapo ndipo watamuona kama ni mwekezaji kama walivyo wawekezaji wengi duniani.

Inasemekana baada ya hapo wachezaji wakaanza kumpaisha ili asiwe na hasira (waliambiwa) which is so weird. Na kuna wanabodi kadhaa huwa hawamfagilii Chama wakidhani yupo close na Yanga kama alivyo manara.
Wewe jamaa utakuwa ni shoga,mpumbavu mkubwa wewe yaani muda wote ni kumsema MO TU,wewe utakuwa ni choko tu, unatunga vi habari kwa nadhalia zako bila kuweka ushaidi,kama wewe sio shoga?! Eleza kwa ushahidi ni nani ametoa maelezo wachezaji wamsifu MO!!
Hujui kuwa wachezaji nao ni binadamu nao wanaguswa na ujinga wa machoko wenzako mnaomsema tajili yao ambae ndie anaewalipa?
Acha ushoga wewe mlemavu wa akili?! Upo hapa jf muda wote ni kumuongelea Mohamed uku umejikunyata kwenye kochi la shemeji yako fala kabisa wewe
 
Mi binafsi sijasikia chama alichosema ila kama kweli aliamua kumsifia Manara hadharani inaonesha ni jinsi gani moyo wake haupo sawa na uongozi.
Hii ni dalili mbaya sana na ninaanza kuhisi huenda ni mmoja wa wachezaji aliyetumika na Manara kuihujumu Simba.

Mambo haya yanaanza kidogo kidogo lakini master planner wa hii inaonekana amejipanga kuibomoa Simba kweli.
Bahati mbaya naona haitakuwa kazi ngumu kutokana na Mo mwenyewe kukosa hekma na uvumilivu.

Hapa naona Bakhresa ama GSM wanaanza kufanikiwa michezo yao.Mo ataondoka sio muda mrefu.
Tunaanza na kupoteza ngao ya hisani.Yajayo yanatia shaka mno.Chama hawezi kuwa sawa tena baada ya ujinga aliofanya leo.Naanza kuona mgomo baridi kwa wachezaji wanaomuunga mkono Chama ambaye anataka kujipambanua kama timu Haji.
Simba inavunjika kwa ubinafsi mkubwa na tamaa za Manara,kukosa hekma kwa mwekezaji wa Simba,na fitna zilizoenda shule zinazoandaliwa na washindani wa Mohammed enterprises. Kumbe pesa sio kila kitu
 
Kuna binadamu wengine cjui wana akili gani yaani.mtu anamsema Mo kila saa ooh cjui cjui hawana ushahidi. Ajabu anaewaaminisha hana ajmhata senti moja anayomlipa hata mfagiaji wa uwanja wa mazoezi wa simba. Binadamu hawana shukrani aisee. Yaani wanataka Manara asifuate maadili ya kazi na aachwe tu. Tujipe muda naamini simba watakuja kumwaga ushuzi wote wa manara maana c kalikoroga
 
Sitaki kuamini kama ni kweli Mo amefanya jambo la hovyo kiasi hicho. Kama ni kweli Mo ndiye kakomenti na sio wajanja wa mitandaoni wamemchomekea basi Simba kuna shida kubwa. Sasa yeye anatofauti gani na Haji Manara ambaye tumekuwa tunampiga spana hapa "left right" toka juzi jioni. Kwa tabia hizi kwa kweli anguko la Simba halipo mbali sana kama wengi wanavyosema hapa. Kipindi hiki Mo, Babra na bodi nzima ya Simba ilitakiwa ikae mbali kabisa na siasa za mitandaoni kama vile hakuna kitu kimetokea. Badala yake wawaache wanachama, wapenzi na washabiki wenye Simba yao wapambane na Manara na wale wote wenye kutaka kuihujumu Simba.

Huu upuuzi na uswahili alioufanya Mo kwenye ukurasa binafsi wa Chama utasababisha wachezaji kuondoka au kugoma kuja kusajiliwa Simba siku zijazo. Kimsingi Mo ni mwanahisa tu kwenye kampuni ya Simba kwa hiyo aache kujisahau na kuwachukulia wachezaji wa Simba kama wafanyakazi wa METL. Wachezaji wa Simba ni wafanyakazi wa Simba Ltd na si vinginevyo na hivyo hapaswi kuwaingilia kwenye mambo yao binafsi ili mradi hawaihujumu Simba. Yeye kulipia usajili wao kwa mapenzi yake kwa Simba basi kusiwafanye wachezaji wakose uhuru wa kufanya mambo yao na kujiamulia marafiki wa kuwasiliana nao hata kama hao marafiki ni maadui wa Mo.

Ndugu yangu Magori wewe ndio mshauri mkuu wa Mo kwenye masuala ya mpira kwa hiyo una kazi kubwa sana ya kufanya ili mambo yaende sawa vinginevyo hapa ilipofika Simba itakuja kuporomoka kutokana na mambo ya hovyo kama haya japo ukiangalia kwa haraka haraka yanaweza kuonekana kama madogo na hayana madhara.
 
Mi binafsi sijasikia chama alichosema ila kama kweli aliamua kumsifia Manara hadharani inaonesha ni jinsi gani moyo wake haupo sawa na uongozi.
Hii ni dalili mbaya sana na ninaanza kuhisi huenda ni mmoja wa wachezaji aliyetumika na Manara kuihujumu Simba.

Mambo haya yanaanza kidogo kidogo lakini master planner wa hii inaonekana amejipanga kuibomoa Simba kweli.
Bahati mbaya naona haitakuwa kazi ngumu kutokana na Mo mwenyewe kukosa hekma na uvumilivu.

Hapa naona Bakhresa ama GSM wanaanza kufanikiwa michezo yao.Mo ataondoka sio muda mrefu.
Tunaanza na kupoteza ngao ya hisani.Yajayo yanatia shaka mno.Chama hawezi kuwa sawa tena baada ya ujinga aliofanya leo.Naanza kuona mgomo baridi kwa wachezaji wanaomuunga mkono Chama ambaye anataka kujipambanua kama timu Haji.
Simba inavunjika kwa ubinafsi mkubwa na tamaa za Manara,kukosa hekma kwa mwekezaji wa Simba,na fitna zilizoenda shule zinazoandaliwa na washindani wa Mohammed enterprises. Kumbe pesa sio kila kitu
Chama kazingua huwez kumsifia mtu aliyefukuzwa kwenye taasisi uliyopo. Kazingua aisee sio kidogo. Alitakiwa mambo za manara aziskip na kuhojiwa hojiwa hata insta live wasiingie aisee
 
Wewe jamaa utakuwa ni shoga,mpumbavu mkubwa wewe yaani muda wote ni kumsema MO TU,wewe utakuwa ni choko tu, unatunga vi habari kwa nadhalia zako bila kuweka ushaidi,kama wewe sio shoga?! Eleza kwa ushahidi ni nani ametoa maelezo wachezaji wamsifu MO!!
Hujui kuwa wachezaji nao ni binadamu nao wanaguswa na ujinga wa machoko wenzako mnaomsema tajili yao ambae ndie anaewalipa?
Acha ushoga wewe mlemavu wa akili?! Upo hapa jf muda wote ni kumuongelea Mohamed uku umejikunyata kwenye kochi la shemeji yako fala kabisa wewe
Na hawa ni aina ya washabiki wasiojielewa. What a coincidence!
 
Mimi nimewaza tofauti na nyie

Mo kahamisha mjadala wa manara kijanja hii kwa wasanii tunaita kiki

Sasa ivi upepo umehamia kwake na mjadala wa manara umezikwa rasmi....
 
😂😂😂😂😂😂Boss kapanic

Soon anazira rasmi
 
Mi binafsi sijasikia chama alichosema ila kama kweli aliamua kumsifia Manara hadharani inaonesha ni jinsi gani moyo wake haupo sawa na uongozi.
Hii ni dalili mbaya sana na ninaanza kuhisi huenda ni mmoja wa wachezaji aliyetumika na Manara kuihujumu Simba.

Mambo haya yanaanza kidogo kidogo lakini master planner wa hii inaonekana amejipanga kuibomoa Simba kweli.
Bahati mbaya naona haitakuwa kazi ngumu kutokana na Mo mwenyewe kukosa hekma na uvumilivu.

Hapa naona Bakhresa ama GSM wanaanza kufanikiwa michezo yao.Mo ataondoka sio muda mrefu.
Tunaanza na kupoteza ngao ya hisani.Yajayo yanatia shaka mno.Chama hawezi kuwa sawa tena baada ya ujinga aliofanya leo.Naanza kuona mgomo baridi kwa wachezaji wanaomuunga mkono Chama ambaye anataka kujipambanua kama timu Haji.
Simba inavunjika kwa ubinafsi mkubwa na tamaa za Manara,kukosa hekma kwa mwekezaji wa Simba,na fitna zilizoenda shule zinazoandaliwa na washindani wa Mohammed enterprises. Kumbe pesa sio kila kitu
Hakuna kitu kama icho iyo ni editing tu,ni watu wamejipanga kuichafua Simba kwenye mitandao ya kijamii!! Hizi kampeni hazijaanza leo,toka msimu huu wa ligi ulioisha kampuni moja iliyobadili jina ili kukwepa kodi,ambayo ina uhusiano na timu moja ya ligi kuu,ambayo iliwahi kuwa na kocha mzungu ambae aliwafananisha viongozi wa timu iyo na mashabiki wao kuwa wanatabia kama za nyani na muda wote wanabweka kama umbwa.
Mwenye iyo kampuni alianzisha kampeni kwenye radio zote za FM kwa kugawa pesa kwa waandishi ili waiongelee vibaya Simba kila siku na kuiandika vibaya kwenye vi-blog vyao uchwala,lakini mbinu zote tulizigundua na kuzipuuza.
Pia amekuwa akiwatumia baadhi ya watu wa Simba akiwemo manara kwa kuwapa pesa ili kuivuruga Simba,mbinu zote zinajulikana lakini Simba tupo imara tumejipanga vizuri kuchukua ubingwa kwa mara ya tano mfululizo.
 
Yaani hili suala lilikuwa rahisi sana ni suala la kumpigiia tu Chama na namba zake anazo kuliko kwenda kukomenti hadharani vile.
 
Huyo chama ni nani? Tuanzie hapo kashaulizwa nani anakulipa mshahara?Popcorn narudi soon
 
Back
Top Bottom