Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Sana. Ni mswahili sana huyo jamaa. Kuna watu walipinga zile Hustle za freeMo wakati ule ametekwa, walidai Mo ana roho mbaya na ni mnyonyajiMo kazingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana. Ni mswahili sana huyo jamaa. Kuna watu walipinga zile Hustle za freeMo wakati ule ametekwa, walidai Mo ana roho mbaya na ni mnyonyajiMo kazingua
Mo ni muhindi. Na ndivyo wengi wao walivyo. Utapeli, dharau na rohombaya.Sana. Ni mswahili sana huyo jamaa. Kuna watu walipinga zile Hustle za freeMo wakati ule ametekwa, walidai Mo ana roho mbaya na ni mnyonyaji
Rukaruka sasa ewe utoMwamedi kashawazidi ujanja mikia
Daah Boss amejibu "kiswazi sana" kama si msomi banaa.....Akija kujifitinisha na wachezaji kisha kusababisha migomo ya wachezaji (hasa professional players wa nje), ndo atajua kuwa mpira hauhitaji pesa tu.
Hivi kuna ulazima gani wa kupeleka bifu lake kwa wachezaji au yeye anadhani kwa pesa zake basi kila mtu atakuwa upande wake?
Yeye kama boss anatakiwa akae pembeni kabisa kama vile hakuna kitu kina endelea mashabiki waongee, ujinga wake wa kuwa provoked utakuja kumpa ushindi mkubwa yule haji.
Huyo ni Mwamedi broNo ni aina dukani ya watu wanaopenda umaarufu sana,bahati mbaya umaarufu haujawahi kumtaka.Hana kabisa personality kama walionayo matajiri wengine hapa Tz na huko duniani,nafikiri ni kwasababu hajahangaika kuzitafuta ndomaana hafanani kitabia na self-made billionaires.
Sasa kulikuwa na haja gani ya boss wa club kwenda kucomment shombo kama zile kwenye live ya CHAMA? Aiseeeh[emoji23]
Mudi ni takataka regardless utajiri alionao,yaani ana ushamba mwingi sanaMwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.
Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143
🤣🤣Napata picha yule sheikh anayemiliki Mancity akichambana na Rahim sterling insta.