Na katika hili sakata asipokuwa makini arakuja kupigwa KO moja tu mpaka akimbilie kutishia kuacha team kama kawaida yake, kwasasa anatakiwa ajue kabisa kuwa licha ya yeye kuachana na Manara haimaanishi kuwa Manara hana watu ndani ya SIMBA SC, na ajue kabisa katika hili manara hajasimama pekeyake.
Kikubwa zaidi akumbuke kuwa Hawa mashabiki wanaojidai kumoenda sasahivi na kumchukia Manara,amewaroga kwa mafanikio kidogo yaliyopatikana ndani ya hii misimu minne, SIMBA SC ikianza kufanya vibaya ndo atawaelewa rasimi.Chukulia mfano YANGA akampiku simba Sc hata kwa misimu miwili tu,alafu ujijibu mwenyewe.